Rais Samia aongoza msiba wa mzee Cleopa Msuya

Rais Samia aongoza msiba wa mzee Cleopa Msuya

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025.
IMG-20250513-WA0118.jpg

Soma pia TANZIA - Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena
 
Back
Top Bottom