Rais Samia aondoka Dar kuelekea Zanzibar kwa Mapumziko ya Sikukuu

... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi! Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?
 
hapo nimekuelewa, nilidhani sentensi imeungana
hata mm nasema akapumzike maana tulimsubiri kwa hamu Biswalo Mganga na Ole Sabaya
sasa hata akichelewa kumuapisha Biswalo no problem
kina Ruge na Habinder na wale wa hujuma, kutakatisha pesa nk watatoka tu
 
Sasa huyu mama atakaa dodoma? Maana kila kisababu yuko dar. Mwendazake alikutana na wazee wa dodoma ili kusema na taifa yeye wazee wa taifa ni darr tu utafikiri wazee wa dar ndio wazee wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…