Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,193
- 4,661
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu
Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid lililifanyika ukumbi wa Anatouglo Dar es salaam
Mheshimiwa Samia ameshawasili salama Zanzibar