Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,170
- 8,622
Ni kama serikali ya rais Samia haifanyi lolote kwenye macho ya watanzania. Ujumla kila analolifanya ni kama void and null.
Nimekuwa na mazungumzo na mmoja wa wakufunzi kwenye chuo cha ualimu sitaki kukitaja. Akaniambia yeye mwenyewe anashangaa sana maana kila analolifanya rais Samia ni kama linaonekana ni ubatili machoni pa Watanzania.
Mfano ni hii mikakati uchwara ya kujifanya anawaangalia kwa jicho la karibu magenz ili waweze kuipenda serikali yake kwa kutumia mikakakati uchwara...