Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,354
- 23,760
Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba ya Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Imeonyesha Kuwapenda na kuwajali sana Watanzania. Ni hotuba iliyoonyesha upendo mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Ni hotuba ambayo imeonyesha muendelezo wa Dhamira ya Dhati ya Rais wetu kutaka kuona wananchi na watanzania wote kwa ujumla wake wakiishi kwa amani ,umoja , mshikamano na Kwa upendo. Ameonyesha nia ya kuliunganisha Taifa letu, nia ya kuponya majeraha kwa yeyote aliyeumizwa na kujeruhiwa .
Ameonyesha nia na dhamira ya dhati kabisa ya kufutana machozi kwa upendo na kusameheana. Mama ameonyesha upendo wake wa dhati na nia ya kujenga na kuimarisha umoja wa kitaifa. Mama yetu ameonyesha utayari wa kukaa mezani na yeyote yule mwenye dukuduku. Amekunjua na kunyoosha mkono wa maridhiano.
Hataki ushindi katika kujenga umoja wa kitaifa. Anataka sote tushirikiane kujenga umoja wa kitaifa.anataka kila mmoja wetu awe na sauti sawa na mwingine.anataka sauti ya kila mmoja wetu isikike na ipewe thamani na sikio . Ndio sababu ta kutaka kuunda tume ya maridhiano. Ndio sababu ya kuwaomba watanzania kuungana kulijenga Taifa letu
Watanzania hatuna budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa. Hatutafuti nani kakosea wapi na nani kaharibu wapi. Tunatafuta njia ya kuliponya Taifa letu na kusonga mbele kwa pamoja. Tunatafuta ushindi wetu sote kama Taifa .
Tukunjue mikono yetu ,tunyooshe mikono yetu ya amani . Tukunjue mioyo yetu na kuungana kutafuta ushindi kwa Taifa letu. Sisi sote ni watanzania na jadi yetu ni kuzungumza mezani kwa amani na utulivu. Hakuna gumu katika meza ya mazungumzo,hakuna lisilowezekana kufikia muafaka.
Yote yanawezekana tukikaa pamoja na kuzungumza. Rais wetu ni msikivu ,Rais wetu yupo Tayari mezani . Tuamkeni na kwenda mezani kuzungumza kwa msitakabali mzima wa Taifa letu. Tusikubali yeyote akatuvuruga na kutujaza na kutupandikiza chuki na uhasama Mioyoni mwetu. Wengine kula yao na shibe ya matumbo yao inategemea zaidi kuleta uchochezi,kupandikiza chuki na kuleta msuguano ndani ya Taifa.tusiingie kwenye mtego wao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.