technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Huyu kavuta advance yakeAshafika, maana tunapigwa hela na hakuna kinachofanyika, huko tayari nk kufika mbali
😁😁😁Akisema ni usiku hauna haja ya kutoka nje kama kipindi cha Kikwete na Magufuli kuchungulia kama kweli jua haliwaki.
Kweli kwenye kufa kuna kufaana.Kuna Waziri nimesikia amenunua Malori makubwa ya mizigo 50 kwa mkupuo.
Urefu wa kamba gani huo Madam?
Je kanunua kwa mshahara wake?Kweli kila kitu kina faida na hasara...
Hapo ni ajira za madereva 50 na utingo wao. Ukiachilia mbali kazi za service na ufundi garadge.
Nilichomaanisha ni kuwa wakati unamlaani kwa ufisadi unakuta kuna mtu anambariki kwa kumpa ajira ya udereva. Kufa kufaana.Je kanunua kwa mshahara wake?
Hizo pesa alizoiba zingeajiri manesi madokta walinzi wangapi?Nilichomaanisha ni kuwa wakati unamlaani kwa ufisadi unakuta kuna mtu anambariki kwa kumpa ajira ya udereva. Kufa kufaana.
Pesa za malori 50 zinaajiri madokta wangapi? Zingeenda kwenye mafuta ya VX. Ma V8.Hizo pesa alizoiba zingeajiri manesi madokta walinzi wangapi?