Rais Samia amteua Amos Gabriel Makalla kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha

Rais Samia amteua Amos Gabriel Makalla kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha

Chini ya mwaka, wakuu wa mkoa watatu..! Arusha is fukcd up nakuambia.
 
Ndio safari ya hapa na pale kwa makala imeanza kama chongolo
 
Makalla = mkaa.

Nafikiri huyu mtu hajui chochote katika uongozi ndiyo maana wanahangaika pa kumpachika
 
Masoko gani yanahitaji kijengwa upya huko?
 
Ndugu zangu hii nchi inahitaji Katiba mpya ya Wananchi! Namaanisha ile iliyopendekezwa kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba! Kinyume na hapo, watawala wataendelea kutuona kama maiti zinazotembea, mpaka kiama.

Kinyume na hapo ajitokeze tu Ibra Traore wa Bongo, halafu afanye ya kwake.
Jirani zako wa Kenya wana katiba mpya, imewasaidia nini mpaka sasa zaidi ya kuvuruga nchi yao?

Pongezi kwa ACP Makala kwa kuendelea kuaminiwa na Mh. Rais.
Tuchape kazi sio maneno.
 
Back
Top Bottom