Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,351
- 23,758
post za huyu 🌈 ni za kuzipotezea hivi hivi.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya sheria hapa Nchini.
Lakini pia Ndiye Aliyekuwa Mwanamke wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa Jaji wa Mahakama kuu.View attachment 3560713View attachment 3560714
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa,Samia Amlilia Mwanamke Wa Kwanza kusomea Shahada ya Sheria na Wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati Kuwa Jaji wa Mahakama kuu
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya sheria hapa Nchini.
Lakini pia Ndiye Aliyekuwa Mwanamke wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa Jaji wa Mahakama kuu.View attachment 3560713View attachment 3560714
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lazima ashikishwe ukuta ndo alipwe mpuuzi huyo.Weka hiyo picha akiwa analia, watu wanagonga chiazi kule nyumba nyeupe wewe unaleta unywanywa hapa. Vpi wamekupa hela ya kula leo au ndio mpaka ukashike ukuta
Uwe na adabu na akili kwa mamlaka. Mama ni akili kubwaHao ndio wanawake wasomi kweli na waliojaliwa kuwa na akili, sio kama samuya na elimu ya kuunga unga kwa super glue
Mbona wewe hukuuwawa .Sawa,
Ila mbona hakulilia wale maelfu ya Watanganyika alioua MO29?
Endelea kujishebedua.
Babako kala hasara kubwa bora angepiga nyeto tu.Endelea kujishebedua.
Ukiuawa wewe inatoshaMbona wewe hukuuwawa .
Alafu kuna mtu anajiandikia uzi anajifanya kuijua sana familia hiyo 😄Julie Manning was a giant.
Huyu ndiye aliyemfundisha kazi Joseph Warioba.
Poleni Kevin na familia yote.
RIP.
Wewe huna faida yoyote ile hapa DunianiUkiuawa wewe inatosha
Hapo kwenye neno "wewe" andika: Lucas Mwashambwa , then statement itakuwa sahihi 100%.Wewe huna faida yoyote ile hapa Duniani
Hujitambui na huna akili.Hapo kwenye neno "wewe" andika: Lucas Mwashambwa , then statement itakuwa sahihi 100%.
Kimsingi mzee Mwashambwa alibugi sana, bao lako angemwaga tu ndani ya choo cha shimo
Tuambie matokeo ya form 4 alipata div ngapi huyo daktari wa mchongo?!.Uwe na adabu na akili kwa mamlaka. Mama ni akili kubwa