Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,669
- 22,256
Viongozi wetu wanamajumba mazuri kuliko waziri mkuu wa uingereza au rais wa marekani.Wanasiasa mnamjumba mazuri kwasababu ya wizi wa fedha za umma
Viongozi wetu wanamajumba mazuri kuliko waziri mkuu wa uingereza au rais wa marekani.Wanasiasa mnamjumba mazuri kwasababu ya wizi wa fedha za umma
Mbona kama na wewe unaongelea hilohilo? Nilifikiri utapinga.Nyumba mmeiona wapi? Mimi naona hema! Hata hivyo, Wasira alianza kufanya kazi kabla hujazaliwa, mbona vitukuu vyake vina mijumba ya fahari? Mtakufa na depression bajameni!