Rais Samia amfariji na kumpa pole na Mzee Wasira kwa kufiwa na mwanaye

Tafuteni pesa mujipange, wacheni kuwaonea wivu wazee kama Wasira. Wa zamani walisema 'Rome was not built in a day', nyinyi badala ya kutafuta maeneo ya kujenga kwanza munataka muonekane mabarabarani na magari ya kifahari na ndoto teletele munazojazana humu kwenye mitandao za kupata utajiri wa haraka.
 
Nyumba mmeiona wapi? Mimi naona hema! Hata hivyo, Wasira alianza kufanya kazi kabla hujazaliwa, mbona vitukuu vyake vina mijumba ya fahari? Mtakufa na depression bajameni!
Mbona kama na wewe unaongelea hilohilo? Nilifikiri utapinga.
 
Huyu marehemu ndiyo mwenye ile villa kali pale Mbezi Beach kwa Mama K? Wembura ni mwanaume au mwanamke? Tatizo Kiswahili huwezi kujua kama mtu ni He or She
 
Back
Top Bottom