Rais Samia amewezaje kubadili upepo wa DART kutoka kupata hasara hadi faida mara 100%?

Kuna tofauti kubwa Sana ya Uongozi kutoka awamu ya 6 na ya 5..

Kila sekta,Rais Samia ameonyesha ufanisi wa Hali ya Juu..

Dart ilikuwa inapata hasara Sana na walikuwa na magari machache lakini baada ya serikali ya SSH kutoa pesa walinunua magari na wamebadili mtindo wa ukatishaji tiketi matokeo yake sasa ndio haya ..

Hongera Rais Samia Kwa kuonyesha uongozi
View attachment 2245277View attachment 2245278
Mazingira ya biashara yanatawaliwa na utulivu na amani.
Sasa mtu akikaa kitini na wasiwasi wa kutumbuliwa anakuwa na mguu mmoja ndani na mguu mwingine wa kukimbia eneo la kazi.
 
Kuna tofauti kubwa Sana ya Uongozi kutoka awamu ya 6 na ya 5..

Kila sekta,Rais Samia ameonyesha ufanisi wa Hali ya Juu..

Dart ilikuwa inapata hasara Sana na walikuwa na magari machache lakini baada ya serikali ya SSH kutoa pesa walinunua magari na wamebadili mtindo wa ukatishaji tiketi matokeo yake sasa ndio haya ..

Hongera Rais Samia Kwa kuonyesha uongozi
View attachment 2245277View attachment 2245278

Dart collections rise to....
Kwani kabla ya Samia collections ilikuwaje?
Collections =profit? ?

Au wewe unafikiri Dart haikuwa kukusanya na kupata faida kama hiyo uko nyuma? Sasa kama nauli zimepandishwa kwenye madaladala na Dart hawajapandisha kwanini watu wasi opt kupanda mwendokasi?
Hahahahaha kwa hiyo ukiwa chawa unakuwa na uwezi mdogo wa kufikiri?
Kwa hiyo gafla Dart hakuna wizi kila kitu kiko sawa ndio maana wamekusanya sana? Na aliesema wamekusanya ni wakaguzi au Dart wenyewe?
 
Ngoja nikwambie kitu ambacho hujui, mama alimtoa mhede TRA na akampa ubossy DART mhede yuko smart sana ana integrity ya hali ya juu sana.

Pale TRA alisaidia sana kwenye makusanyo ya kodi kumbuka yeye alivoingia TRA iliweka rekodi ya kukusanya trilion 2 chini yake. Aliweka mifumo mizuri ambayo mpaka sasa inasaidia sana pale TRA naishia hapa.

Pale DART kulikua na upigaji mwingi jamaa kajitahidi sana kuweka mifumo bora ya uuzaji tiketi nk, pia kuna mabus yaliongezwa.

DART imepata kiongozi bora hii nchi tukipata wakina mhede 10 tutafika mbali shida wengi wanaangalia maslahi yao na sio ya nchi.

Kwa hiyo sasa hivi Dart pesa haziliwi? Hahahahaha mambo ya praise team kama enzi za Magufuli hahahahahaha
 
Dart collections rise to....
Kwani kabla ya Samia collections ilikuwaje?
Collections =profit? ?

Au wewe unafikiri Dart haikuwa kukusanya na kupata faida kama hiyo uko nyuma? Sasa kama nauli zimepandishwa kwenye madaladala na Dart hawajapandisha kwanini watu wasi opt kupanda mwendokasi?
Hahahahaha kwa hiyo ukiwa chawa unakuwa na uwezi mdogo wa kufikiri?
Kwa hiyo gafla Dart hakuna wizi kila kitu kiko sawa ndio maana wamekusanya sana? Na aliesema wamekusanya ni wakaguzi au Dart wenyewe?
Zilikuwa kiduchu Sana
 
Kwani ulifikiri uongozi ni kufoka foka ? Kuteka na kuuwa raia? Kubambikia watu kesi? La hasha uongozi ni akili.

Hela zilikuwa zinapigwa na wao Halafu tunafokewa
Ila jamaa alikuwa na wizi wa kishamba sana

Na Mama alikuwa anajua yote na sasa mirija imekufa
Na faida sio zinaonekana bali fedha zinaonekana zinapoingia
Kuiba kupo ila sio kama lile
 
Ngoja nikwambie kitu ambacho hujui, mama alimtoa mhede TRA na akampa ubossy DART mhede yuko smart sana ana integrity ya hali ya juu sana.

Pale TRA alisaidia sana kwenye makusanyo ya kodi kumbuka yeye alivoingia TRA iliweka rekodi ya kukusanya trilion 2 chini yake. Aliweka mifumo mizuri ambayo mpaka sasa inasaidia sana pale TRA naishia hapa.

Pale DART kulikua na upigaji mwingi jamaa kajitahidi sana kuweka mifumo bora ya uuzaji tiketi nk, pia kuna mabus yaliongezwa.

DART imepata kiongozi bora hii nchi tukipata wakina mhede 10 tutafika mbali shida wengi wanaangalia maslahi yao na sio ya nchi.
Kama ni kweli hongera zao ila Kama wanapika data time will tell
 
Uongo uongo uongo, ni hasara tupu
yaani kuna watu wanachekesha kweli. Wanataka kuwaaminisha watu kuwa UDART ndo imeeanza kukusanya mapato leo zamani ilikuwa ni hasara.Wanapika data ili kuonesha mama anafanya kazi vizuri wakati kiuhalisia hela inaibiwa sana tu. Wakati ni mwalimu mzuri sana.
 
Sio kuwaaminisha kwani hizo figures huzioni? Hakuna propaganda awamu hii bali ni matendo..

Kwamba hii ni propaganda sio? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220530-191958.png
    Screenshot_20220530-191958.png
    142.2 KB · Views: 10
Kuna tofauti kubwa Sana ya Uongozi kutoka awamu ya 6 na ya 5..

Kila sekta,Rais Samia ameonyesha ufanisi wa Hali ya Juu..

Dart ilikuwa inapata hasara Sana na walikuwa na magari machache lakini baada ya serikali ya SSH kutoa pesa walinunua magari na wamebadili mtindo wa ukatishaji tiketi matokeo yake sasa ndio haya ..

Hongera Rais Samia Kwa kuonyesha uongozi
View attachment 2245277View attachment 2245278
Magufuli alikuwa na nguvu kubwa ya kuanzisha miradi, ni hobby alikuwa nayo tangu miaka ile akiwa ujenzi.

Alishindwa kuwa na mawazo ya kibiashara, alishindwa kukubaliana na wenye akili ya kibiashara kwa kuwapa uhuru wa kufanya wanayoweza kufanya kwa ufanisi.

Aliamini anajua kila kitu na akataka aendeshe kila idara na hilo likawa ni kosa kubwa la kiufundi. Akawa anafurahishwa na takwimu lakini kiuhalisia mambo yalikuwa ni tofauti na matarajio ya uendeshaji wa mashirika mengi.
 
Hata kuimalizia na kuleta tija huwa ni mtihani..Huu mradi wa BRT ulianzishwa akiwa waziri wa Ujenzi na una kashfa kwamba alipunguza upana akapiga hela
 
Inaweza kuwa kweli lakin haiwezi kukusanya mapato na ikapata faida ya 125 hapa labda total collection.Tofauti na hapo ni kazi ya chawa tu.Hata hiyo sifa ni ya kijana makini Mhede ambaye alikuwa mkuu wa TRA.
Ni rekodi ya makusanyo,faida ni kesi nyingine
 
Hela zilikuwa zinapigwa na wao Halafu tunafokewa
Ila jamaa alikuwa na wizi wa kishamba sana

Na Mama alikuwa anajua yote na sasa mirija imekufa
Na faida sio zinaonekana bali fedha zinaonekana zinapoingia
Kuiba kupo ila sio kama lile
Masikini, hadi huruma!

Hata Samia mwenyewe akisoma hapa atacheka na atakuonea huruma sana
 
Back
Top Bottom