Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,356
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge.

Ameonyesha kujawa na ucha Mungu, hofu ya Mungu, na kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea ubunge, lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka. Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko, manung’uniko, na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama.

Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na mkoa, sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.

Kwa hakika jambo hilo limekijenga, kukiimarisha, na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya Kamati Kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.

Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi — ni kiongozi na nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu, itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana. Hii ndiyo sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.

Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.

Kazi iendelee. Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa: Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
IMG-20250728-WA0071.jpg
Screenshot_20250510-233929_1.jpg
 
Idiot
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Ameonyesha Kujawa na Ucha Mungu, Hofu Ya Mungu na Kutenda haki katika uteuzi wa wagombea ubunge. Ameongoza mchakato mgumu wa kuwapata wagombea Ubunge lakini ametenda haki na haki imeonekana kutendeka . Jambo ambalo limeondoa kabisa malalamiko , manung'uniko na lawama kutoka kwa wagombea na wanachama .

Ambapo hata wale ambao hawakupata nafasi ya kupenya kwenye tatu bora katika ngazi ya wilaya na Mkoa . Sasa wamejikuta wametendewa haki na majina yao kurejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura na wajumbe katika mkutano mkuu wa jimbo.

Kwa hakika jambo hilo limekijenga ,kukiimarisha na kukiacha chama kikiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu sana. Kwa sababu kila mwanachama ameridhika kabisa na mchakato ulivyokwenda pamoja na maamuzi ya kamati kuu iliyoongozwa na Rais Samia katika uteuzi wa wagombea.

Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya kiongozi ,ni kiongozi na Nusu. Amehakikisha rushwa haichukui nafasi wala kuwa mwamuzi wa maamuzi ya kupendekeza wagombea. Kwa sababu anajua wagombea wakipita na kupitishwa kwa nguvu ya rushwa au pesa chafu itaangamiza na kukigawa chama na kukiacha na makovu makubwa sana.hii ndio sababu alihakikisha mchakato unakuwa wa haki na wagombea wote wanatendewa haki.

Watanzania tuna kila sababu ya kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM katika uchaguzi ujao.View attachment 3426341View attachment 3426342

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Idiot
 
Lucas Mwashamba njoo hapa umsikie poti wako ila pia inawezekana Mwashamba ndio huyu huyu Mwashambwa kaamua kujipa promo baada ya kuona nyota inafifia.
 
Unashitakiwa kwa kutumia jina la mtu,je unao mawakili Nguli kama Tundu lisu ?au ni tia maji kama wale wa mbogamboga kisutu
 
Du!.....Kazi ipo
 
Hakika, tumuombee sana Mama yetu, hata kama ana mapungufu. Ili mapenzi ya Mungu yatimizwe
 
Mkuu umeonyesha nia jimbo gani la Songwe tuje tukupe taf!
 
Back
Top Bottom