Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Ng'ombe
 
Huyo Ni Global issue, ata now California gesi Ni $6 per gallon wakati utawala wa Trump ilikuwa $1.9
Hata COVID-19 ni global issue ila kuna kichwa kilitumia akili.Sipati picha Rais Samia angekuwa Rais wa awamu ya tano kama tusingekuwa lockdown na kulazimishwa chanjo.

Ninyi hamuoni hata ulaya na marekani baada ya kutoa lockdown na kuruhusu mijumuiko katika viwanja vya michezo mf. UEFA kumepunguza propaganda nyeusi za COVID-19.

Sasa hivi wamehamia kwenye vita.
 
Huyo Ni Global issue, ata now California gesi Ni $6 per gallon wakati utawala wa Trump ilikuwa $1.9
Kwahiyo unakubaliana nae kuwa TANZANIA na Marekani purchasing power Iko sawa kule na huku?

Kwamba Bei ya Petrol USA ni ghali kuliko huku? Hapo aliupiga mwingi'' kwel,

Akasahau kusoma kuwa wao wanauza Kwa Gallon Si Kwa litre kama huku!!!

Vp punguzo la Bei petrol Kwa sh 300 ni kupiga mwingi'' pia?

Kipande kimoja Cha sabuni ya mche kuuzwa 900 ni kupiga mwingi''?

Mafuta ya kupikia kuuzwa 42000 gallon ya litre Tano ni ameupiga mwingi'' pia??
 
M
Waheshimu Marehemu ,waombee lkn pia heshimu basi hata kidogo Familia yake
Mtu hujijengea mwenyewe heshima yake, I mean anajijengea mazingira ya kuheshimiwa. Mtu katili muuwaji asiyefuata sheria hawezi kuheshimiwa.
 
JPM aliyafanya hayo chini ya CCM kama unadanganyika na siasa za Sasa subiri uone kama watakubali kuleta katiba mpya au Tume ya uchaguzi yenye uwazi haswa ikiwemo matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani, kama Bunge la chama hichohicho limewakumbatia Wabunge ambao wameshafukuzwa chama usitegemee jipya, na ufisadi upo tu usidanganywe kuwa umeisha wizi ni mfumo Dola wa CCM
 
Marehemu hasemwi toka lini?
 
Kusema kweli Mwenyezi Mungu alitufanyia upendeleo wa kipekee Watanzania March 17 kwa kutuondolea lile jinamizi bila hata tone la damu kumwagika.
Uzi sio wa kwako, lkn umeuvamia kwa tamaa zako. Mlamba viatu vya mwenyekiti ktk ubora wako wa kupigania tumbo lako 😂😂🤣🤣
 

Attachments

  • stock-vector-employee-licks-boss-boots-cartoon-vector-256765621.jpg
    55.5 KB · Views: 16
Uzi sio wa kwako, lkn umeuvamia kwa tamaa zako. Mlamba viatu vya mwenyekiti ktk ubora wako wa kupigania tumbo lako [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Enzi zako ukilamba viatu vya marehemu meko
 
Wa hovyo ni wewe na mtazamo wako! Sasa hayupo Fanyeni basi hata robo TU ya alichokuwa anakifanya kwa nchi yake na raia wake kama ninyi mna maana yoyote mfyuuuuu!
Mnapiga makelele ya kipumbufu wakati raia wanataka maendeleo kwa kuboresha huduma! Mnachoweza ni kukatakata umeme, na maji! Kupandisha bei vitu kwa kuachia mfumko wa bei! Mnachoweza ni wizi TU mapungu nyie mfyuuuuu!
 
Ilo jitu lenu lilikuwa la hovyo ndo maana kila mtu analogwaya
 
Mtazamo wa kipumbufu na ni aibu kujiita msomi usieweza kuitumia hata sehemu ya kupambanua mambo yaliyo dhahiri!
Ninyi ndio mnasababisha wasomi wote wanatukanywa na wasiowahi kufika shule!
 
Ndugai na Charamila walifanyaje walipojalibu kutoa maoni?sema kuwapereka ikuru kunywa uji akina Mbowe,ndio maana wafuasi wa mbowe mnamsifia lakini Samia amna lolote
Wewe huku JF siyo kwako. Nenda MEMKWA au QT ukasome kwanza ujue namna ya kuandika sentensi kwa ufasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…