Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Na ndiyo maana huko aliko anateseka kinoma
 
Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao aliwakumbatia kama wasaidizi wa karibu.

1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo
4. Albert Chalamila

Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] taja list ya walioumizwa na Samia, hata Mello wa JF unayotumia kuandika upupu, alikaa jera miezi ya kutosha.
Kwani kamaliza Muda wake
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] taja list ya walioumizwa na Samia, hata Mello wa JF unayotumia kuandika upupu, alikaa jera miezi ya kutosha.
Kwanini Raisi wa sasa alipiga marufuku mapango kwenye ziara zake?
 
Umesema ukweli mtupu. Halafu Samia amefungua uhuru wa maoni na kusema. Wakumponda wanamponda, na wa kumpongeza wanampongeza pia. Siyo Magufuli ambaye aliishia kusaka watu mitaani na mitandaoni ya wanaomkosoa.

Tanzania iko mikono salama na Rais Samia
Ndugai na Charamila walifanyaje walipojalibu kutoa maoni?sema kuwapereka ikuru kunywa uji akina Mbowe,ndio maana wafuasi wa mbowe mnamsifia lakini Samia amna lolote
 
Kwa taarifa yako kama unazijua vizuri siasa za tanzanua hususani upinzani ni kwamba huyu mama anajiandalia kifo chake kisiasa ama kifo cha chama.

Pengine sababu ameupata urais mezani, hajashindanishwa wala kushindana na mtu yeyote. Mazingira ya ushindani ndio hutengeneza visasi, chuki na majivuno.

Leo hii Tundulisu na chadema wanasimama duniani na kusema wao ndio walishinda uchaguzi dhidi ya Magufuli wakati hata mtoto wangu wa miaka minne atakuambia kazi za magufuli kwa kipindi kifupi toka aingie wakati huyo lissu hata lugoba hawamfahamu. Na bado anahamasisha chama chake na wafuasi wao wasusie serikali.

Kifupi Magufuli aliwajua vizuri upinzani. Enzi za JK ukitaka kula nae ilikuwa lazima uwe mpiga kelele na kuonyesha upo tofauti nae na hasa kutoka upinzani. Alifanya kama afanyavyo huyu maza.

Mwisho wa siku hakuishia tu kukataliwa na upinzani, bali hadi ccm wenzie.

Samwel Sita aliamua kuungana na upinzani na kuwapa airtime bungeni kadri alivyoweza.
Mwisho wa siku hakuishia tu kukataliwa na upinzani kwa kubezwa kuwa alikuwa na chuki binafsi na lowasa, bali hadi ccm wenzie walimkataa.

Hata kule zanzibar ilipoundwa SUK na maalim seif kuingia serikalini, wao walitaka kujitengenezea mazingira ya ushindi tu. Kiukweli ccm ilitikiswa haswa zanzibar na mwishowe shein akiwa rais akasema maalim seif alikuwa anajitengenezea mazingira ya kisiasa na sio kuisaidia serikali.

Huyu mama haijui siasa, hawajui kina mbowe, hawajui wanaccm. Muda utasema.
 
Harudi Tena [emoji1]
 
Kweli mkuu
 
Sasa hao sasa hivi wanampiga yeye huyo maza. Hebu nitajie nchi gani rais amewahi kuhudhuria sherehe ya msanii kwa afrika tu hapa. Acha dunia.

Huyu hajui hata cha kufanya. Muda huo angeutumia kutulia ikulu kupekua mafaili ajue yale aliyoyatolea matamko yamefanyiwa kazi kiasi gani. Ye asipokuwa na ziara ile freetime yake anatumia kwenda kwenye mashughuli. Ukimkosa bara utamkuta zanzibar bwawani hotel kwenye taarab asilia.
 
Akifanikiwa kurudisha Bei ya Petrol irudi 1800, Kutoka 3000 ya sasa, ntaamini Kweli Anaupiga mwingi''
Huyo Ni Global issue, ata now California gesi Ni $6 per gallon wakati utawala wa Trump ilikuwa $1.9
 
MACHINGA
UFISADI NCHINI
MIRADI HAIKAMILIKI KWA WAKATI
HAKUNA NIDHAMU YA KAZI SASA IVI
UTEUZI WA MICHONGO(MFANO BIBI MZEE ALIMFUNDISHA LEO UNAMTEUA BILA KUFATA SHERIA ZA NCHI UTEUZI
ACHANA NA HAO WASIOFATA SHERIA ZA NCHI MAFISADI
Ivyo tu, Basi Bora Samia aongoze na sio kutekana km Magu
 
sasa wewe unalingana na yupi kati yao??upuuzi uko nao tunaujua sisi tuko nawewe jf 24hrs,hamna mtu kalio kama wewe yaani.
 
Mama Samia uwezo wake ni vitu vidogo vidogo vya kufurahisha, sio mambo makubwa ya kujenga nchi.
Muwekeni bashiru mwigulu au polepole sasa
 
Umesema ukweli mtupu. Halafu Samia amefungua uhuru wa maoni na kusema. Wakumponda wanamponda, na wa kumpongeza wanampongeza pia. Siyo Magufuli ambaye aliishia kusaka watu mitaani na mitandaoni ya wanaomkosoa.

Tanzania iko mikono salama na Rais Samia
Ndo ukweli mchungu, jPM yeye alikuwa anawinda roho za wenzake kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…