Rais Samia alifanya kosa la kiufundi

Rais Samia alifanya kosa la kiufundi

Msambichaka Mkinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
1,646
Reaction score
2,911
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu mwingine.

Rais akifa, Katiba yetu inasema kuwa aliyekuwa Makamu wake, ataapishwa kuwa Rais. Atakuwa Rais kumalizia kipindi kilichobakia kufika muda wa uchaguzi unaofuata. Katiba haisemi kuwa Makamu wa Rais ataapishwa kumalizia kipindi cha Urais wa Marehemu kwa sababu Marehemu akishakufa, hana Urais wake aliouacha.

Kama Urais wa marehemu umekoma, basi na Serikali yake, kimantiki imekoma. Ili uunde Serikali mpya, ni lazima uanze kwa kumpendekeza Waziri Mkuu, na kisha kwa kushirikiana na Waziri mkuu, Rais auende Baraza la Mawaziri. Rais Samia hakufanya hivyo. Kama alitaka kuendelea na Majaliwa kama Waziri Mkuu, alistahili kumteua tena, kisha ashirikiane naye kuunda Baraza la Mawaziri.

Kwa kutokufanya hivyo, ndiyo maana watu wengine wanasema kuwa hii ni Serikali ya Magufuli, na Samia anamalizia awamu ya Magufuli, yaani anamalizia Urais wa Magufuli. Jambo ambalo siyo kweli, Rais akishakufa Urais wake umekomea pale, Serikali yake imeishia pale.

Rais Samia kwa kutomteua Waziri Mkuu na kuteua Baraza la Mawaziri akishirikiana na Waziri Mkuu, kumefanya baadhi ya mawaziri vichwamaji kuamini kwamba wanatumikia serikali ya Magufuli, na Magufuli ndiye aliyewateua (japo ni Samia aliyewateua tena kwa tittle zile zile na wengi kwa nafasi zilezile). Hawa royalty yao ipo kwa marehemu, japo hayupo, kuliko kwa Rais Samia, na hawa ndiyo mchana wanamsifia Samia, usiku wanasema Samia hana uwezo.

Ushauri
Rais Samia, kama anataka kufanikiwa, ni lazima ateue serikali yake ya awamu ya 6.

Katiba ipo wazi, Rais akifariki, Makamu wake anakuwa Rais. Ni Rais kamili, hamalizii uongozi wa marehemu, ambao kimsingi unakuwa haupo, anakuwa Rais kamili kama Rais aliyechaguliwa kwa kura.

Katiba inaeleza namna ya kumpata Rais baada ya aliyekuwepo kufariki, lakini haisemi kuwa atakaimu nafasi ya marehemu au atapungukiwa mamlaka au kulazimika kufuata chochote cha mtangulizi wake, isipokuwa katiba.

Kuna watu hawataki kuamini kuwa Rais aliyekuwepo, sasa hayupo, na alipofariki hakuacha mamlaka yoyote nyuma. Amefariki, na mamlaka yake yameishia pale. Hawaamini kuwa Samia yule akiwa makamu wa Rais, ambaye walimwona hana uzito wowote kwa sababu walikuwa wanaripoti moja kwa moja kwa Magufuli, sasa ndiye mkuu wa nchi na ndiye mkuu wao aliye na uwezo wa kumteua yeyote amtakaye na kumwondoa mteuliwa yeyote.

Hawa wanafanya jitihada nyingi usiku na mchana, kuthibitisha kuwa Rais Samia hana uwezo. Wakimshauri, wanamshauri wakiwa na hila. Bila shaka, na kwa uwezekano mkubwa, baadhi yao ndio walimshauri Rais aidhinishe kukamatwa kwa Mbowe na kumbambikizia kesi ya ugaidi Mbowe na makomandoo, wakijua hilo litamchafua sana na kupoteza uungwaji mkono mkubwa ulioanza kuonekana kutoka vyama vya upinzani.

Rais Samia, sasa anatakiwa kufikiria kwa umakini sana anaposhauriwa. Lengo la hawa washauri wenye hila ni kutafuta kila namna ya kumtenganisha na wananchi. Kwa hili la Mbowe, wamefanikiwa sana. Maana mamilioni waliokuwa wakimwunga mkono Rais Samia, kulala la kuamka wakaanza kumlaani sana.
 
Kwani ni lazima uchague waziri mkuu mpya ? Ilikuwa lazima ? Mbona unaandika kama umekunywa maziwa mgando? ..... Ni Raisi kilaza Tu kama wewe anayeweza kuingia madarakani na kuondoa system yote ya kiuongozi ya juu per once .. Unatakiwa uwe kilaza hasa kufanya hivyo
 
Siyo wote wabaya , afukuze Push Gang.
Afukuze wezi wezi wenye akili za kifisadi, ukisema awafukuze wafuasi wa Dkt Magufuli basi hata yeye Mama hafai. Halafu mlivyo pompoya mnasema Mama fukuza wafuasi wa Dkt Magufuli, akimaliza mtamgeuka na kusema hata yeye hafai. Yaani nyie ni wajinga sana. Ila uzuri mama kawastukia.
 
Kwani ni lazima uchague waziri mkuu mpya ? Ilikuwa lazima ? Mbna unaandika kama umekunywa maziwa mgando? ..... Ni Raisi kilaza Tu kama wewe anayeweza kuingia madarakani na kuondoa system yote ya kiuongozi ya juu per once ..unatakiwa uwe kilaza hasa kufanya hvyo
Pia ni gharama kubwa sana hizi teuzi
 
Kwani ni lazima uchague waziri mkuu mpya ? Ilikuwa lazima ? Mbna unaandika kama umekunywa maziwa mgando? ..... Ni Raisi kilaza Tu kama wewe anayeweza kuingia madarakani na kuondoa system yote ya kiuongozi ya juu per once ..unatakiwa uwe kilaza hasa kufanya hvyo
Yes, anatakiwa kuteua waziri mkuu au upya. Hakuna kurithi utawala wa mtu mwingine, ni lazima utengeneze utawala wako.
 
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu mwingine.

Rais akifa, Katiba yetu inasema kuwa aliyekuwa Makamu wake, ataapishwa kuwa Rais. Atakuwa Rais kumalizia kipindi kilichobakia kufika muda wa uchaguzi unaofuata. Katiba haisemi kuwa Makamu wa Rais ataapishwa kumalizia kipindi cha Urais wa Marehemu kwa sababu Marehemu akishakufa, hana Urais wake aliouacha.

Kama Urais wa marehemu umekoma, basi na Serikali yake, kimantiki imekoma. Ili uunde Serikali mpya, ni lazima uanze kwa kumpendekeza Waziri Mkuu, na kisha kwa kushirikiana na Waziri mkuu, Rais auende Baraza la Mawaziri. Rais Samia hakufanya hivyo. Kama alitaka kuendelea na Majaliwa kama Waziri Mkuu, alistahili kumteua tena, kisha ashirikiane naye kuunda Baraza la Mawaziri.

Kwa kutokufanya hivyo, ndiyo maana watu wengine wanasema kuwa hii ni Serikali ya Magufuli, na Samia anamalizia awamu ya Magufuli, yaani anamalizia Urais wa Magufuli. Jambo ambalo siyo kweli, Rais akishakufa Urais wake umekomea pale, Serikali yake imeishia pale.

Rais Samia kwa kutomteua Waziri Mkuu na kuteua Baraza la Mawaziri akishirikiana na Waziri Mkuu, kumefanya baadhi ya mawaziri vichwamaji kuamini kwamba wanatumikia serikali ya Magufuli, na Magufuli ndiye aliyewateua (japo ni Samia aliyewateua tena kwa tittle zile zile na wengi kwa nafasi zilezile). Hawa royalty yao ipo kwa marehemu, japo hayupo, kuliko kwa Rais Samia, na hawa ndiyo mchana wanamsifia Samia, usiku wanasema Samia hana uwezo.

Ushauri
Rais Samia, kama anataka kufanikiwa, ni lazima ateue serikali yake ya awamu ya 6.

Katiba ipo wazi, Rais akifariki, Makamu wake anakuwa Rais. Ni Rais kamili, hamalizii uongozi wa marehemu, ambao kimsingi unakuwa haupo, anakuwa Rais kamili kama Rais aliyechaguliwa kwa kura.

Katiba inaeleza namna ya kumpata Rais baada ya aliyekuwepo kufariki, lakini haisemi kuwa atakaimu nafasi ya marehemu au atapungukiwa mamlaka au kulazimika kufuata chochote cha mtangulizi wake, isipokuwa katiba.

Kuna watu hawataki kuamini kuwa Rais aliyekuwepo, sasa hayupo, na alipofariki hakuacha mamlaka yoyote nyuma. Amefariki, na mamlaka yake yameishia pale. Hawaamini kuwa Samia yule akiwa makamu wa Rais, ambaye walimwona hana uzito wowote kwa sababu walikuwa wanaripoti moja kwa moja kwa Magufuli, sasa ndiye mkuu wa nchi na ndiye mkuu wao aliye na uwezo wa kumteua yeyote amtakaye na kumwondoa mteuliwa yeyote.

Hawa wanafanya jitihada nyingi usiku na mchana, kuthibitisha kuwa Rais Samia hana uwezo. Wakimshauri, wanamshauri wakiwa na hila. Bila shaka, na kwa uwezekano mkubwa, baadhi yao ndio walimshauri Rais aidhinishe kukamatwa kwa Mbowe na kumbambikizia kesi ya ugaidi Mbowe na makomandoo, wakijua hilo litamchafua sana na kupoteza uungwaji mkono mkubwa ulioanza kuonekana kutoka vyama vya upinzani.

Rais Samia, sasa anatakiwa kufikiria kwa umakini sana anaposhauriwa. Lengo la hawa washauri wenye hila ni kutafuta kila namna ya kumtenganisha na wananchi. Kwa hili la Mbowe, wamefanikiwa sana. Maana mamilioni waliokuwa wakimwunga mkono Rais Samia, kulala la kuamka wakaanza kumlaani sana.
Umeandika ukweli mtupu, yote hayo Mama Samia aliambiwa na watu mbali mbali ikiwemo wanasheria kuwa, yeye ni rais mpya na anapaswa kuunda serikali mpya, na kwa kuanzia alipaswa kutangaza kuwa baraza la mawaziri lililopita limevunjika automatically kikatiba hivyo anaanza kuliunda upya na jipya. Hakusikia na akajifanya jeuri, leo analia anasema analaumiwa kwa makosa ya watangulizi wake wakati huo huo amesahau kuwa yeye ndiye aliyetaka kurithi hizo taka taka.
 
Kwani ni lazima uchague waziri mkuu mpya ? Ilikuwa lazima ? Mbna unaandika kama umekunywa maziwa mgando? ..... Ni Raisi kilaza Tu kama wewe anayeweza kuingia madarakani na kuondoa system yote ya kiuongozi ya juu per once ..unatakiwa uwe kilaza hasa kufanya hvyo
Usiwe unaropoka. Unapochangia, kwanza elewa essence ya hoja.

Unaelewa maana ya Serikali? Unaelewa wanaposema chama fulani kimeshinda, na ndiyo kitakachounda Serikali? Nani wanaoteuliwa kuashiria serikali mpya imeundwa? Rais anapoingia madarakani huwa anaendelea na Serikali ya mwanzo au anaunda serikali mpya?
 
Afukuze wezi wezi wenye akili za kifisadi, ukisema awafukuze wafuasi wa Dkt Magufuli basi hata yeye Mama hafai. Halafu mlivyo pompoya mnasema Mama fukuza wafuasi wa Dkt Magufuli, akimaliza mtamgeuka na kusema hata yeye hafai. Yaani nyie ni wajinga sana. Ila uzuri mama kawastukia.
Hivi kwenye hoja kuna mahali imetamkwa kuwa afukuze wafuasi wa Magufuli? Rais mpya anapoingia na kuunda Serikali mpya, anapowateua mawaziri wapya, huwa analenga kufukuza wafuasi wa Rais aliyepita au analenga kuwapata watu atakaosaidiana nao katika kuendesha serikali?
 
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu mwingine.

Rais akifa, Katiba yetu inasema kuwa aliyekuwa Makamu wake, ataapishwa kuwa Rais. Atakuwa Rais kumalizia kipindi kilichobakia kufika muda wa uchaguzi unaofuata. Katiba haisemi kuwa Makamu wa Rais ataapishwa kumalizia kipindi cha Urais wa Marehemu kwa sababu Marehemu akishakufa, hana Urais wake aliouacha.

Kama Urais wa marehemu umekoma, basi na Serikali yake, kimantiki imekoma. Ili uunde Serikali mpya, ni lazima uanze kwa kumpendekeza Waziri Mkuu, na kisha kwa kushirikiana na Waziri mkuu, Rais auende Baraza la Mawaziri. Rais Samia hakufanya hivyo. Kama alitaka kuendelea na Majaliwa kama Waziri Mkuu, alistahili kumteua tena, kisha ashirikiane naye kuunda Baraza la Mawaziri.

Kwa kutokufanya hivyo, ndiyo maana watu wengine wanasema kuwa hii ni Serikali ya Magufuli, na Samia anamalizia awamu ya Magufuli, yaani anamalizia Urais wa Magufuli. Jambo ambalo siyo kweli, Rais akishakufa Urais wake umekomea pale, Serikali yake imeishia pale.

Rais Samia kwa kutomteua Waziri Mkuu na kuteua Baraza la Mawaziri akishirikiana na Waziri Mkuu, kumefanya baadhi ya mawaziri vichwamaji kuamini kwamba wanatumikia serikali ya Magufuli, na Magufuli ndiye aliyewateua (japo ni Samia aliyewateua tena kwa tittle zile zile na wengi kwa nafasi zilezile). Hawa royalty yao ipo kwa marehemu, japo hayupo, kuliko kwa Rais Samia, na hawa ndiyo mchana wanamsifia Samia, usiku wanasema Samia hana uwezo.

Ushauri
Rais Samia, kama anataka kufanikiwa, ni lazima ateue serikali yake ya awamu ya 6.

Katiba ipo wazi, Rais akifariki, Makamu wake anakuwa Rais. Ni Rais kamili, hamalizii uongozi wa marehemu, ambao kimsingi unakuwa haupo, anakuwa Rais kamili kama Rais aliyechaguliwa kwa kura.

Katiba inaeleza namna ya kumpata Rais baada ya aliyekuwepo kufariki, lakini haisemi kuwa atakaimu nafasi ya marehemu au atapungukiwa mamlaka au kulazimika kufuata chochote cha mtangulizi wake, isipokuwa katiba.

Kuna watu hawataki kuamini kuwa Rais aliyekuwepo, sasa hayupo, na alipofariki hakuacha mamlaka yoyote nyuma. Amefariki, na mamlaka yake yameishia pale. Hawaamini kuwa Samia yule akiwa makamu wa Rais, ambaye walimwona hana uzito wowote kwa sababu walikuwa wanaripoti moja kwa moja kwa Magufuli, sasa ndiye mkuu wa nchi na ndiye mkuu wao aliye na uwezo wa kumteua yeyote amtakaye na kumwondoa mteuliwa yeyote.

Hawa wanafanya jitihada nyingi usiku na mchana, kuthibitisha kuwa Rais Samia hana uwezo. Wakimshauri, wanamshauri wakiwa na hila. Bila shaka, na kwa uwezekano mkubwa, baadhi yao ndio walimshauri Rais aidhinishe kukamatwa kwa Mbowe na kumbambikizia kesi ya ugaidi Mbowe na makomandoo, wakijua hilo litamchafua sana na kupoteza uungwaji mkono mkubwa ulioanza kuonekana kutoka vyama vya upinzani.

Rais Samia, sasa anatakiwa kufikiria kwa umakini sana anaposhauriwa. Lengo la hawa washauri wenye hila ni kutafuta kila namna ya kumtenganisha na wananchi. Kwa hili la Mbowe, wamefanikiwa sana. Maana mamilioni waliokuwa wakimwunga mkono Rais Samia, kulala la kuamka wakaanza kumlaani sana.
Wewe Kijana wa Nawie hata Majaliwa akipigwa chini wewe hutateuliwa kula PM hivyo acha chokochoko.
 
Wasaga sumu mnachangia sana kumpoteza mama. Kwani mama si aliteua upya na woote wakaapa mbele yake??
Ni kweli aliwateua Mawaziri wapya, lakini hakumteua Waziri Mkuu mpya. Kuwateua tu mawaziri, haitoi uhalali wa kuwa ni Serikali mpya, bali ni mabadiliko ya Baraza la Mawaziri. Na hapo ndipo panapofanya wale wanaosema Serikali hii siyo awamu ya 6 bali ni awamu ya 5, wawe sahihi. Maana bila kumteua Waziri Mkuu Mpya, itawezaje kuwa serikali mpya na awaku mpya?
 
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu mwingine.

Rais akifa, Katiba yetu inasema kuwa aliyekuwa Makamu wake, ataapishwa kuwa Rais. Atakuwa Rais kumalizia kipindi kilichobakia kufika muda wa uchaguzi unaofuata. Katiba haisemi kuwa Makamu wa Rais ataapishwa kumalizia kipindi cha Urais wa Marehemu kwa sababu Marehemu akishakufa, hana Urais wake aliouacha.

Kama Urais wa marehemu umekoma, basi na Serikali yake, kimantiki imekoma. Ili uunde Serikali mpya, ni lazima uanze kwa kumpendekeza Waziri Mkuu, na kisha kwa kushirikiana na Waziri mkuu, Rais auende Baraza la Mawaziri. Rais Samia hakufanya hivyo. Kama alitaka kuendelea na Majaliwa kama Waziri Mkuu, alistahili kumteua tena, kisha ashirikiane naye kuunda Baraza la Mawaziri.

Kwa kutokufanya hivyo, ndiyo maana watu wengine wanasema kuwa hii ni Serikali ya Magufuli, na Samia anamalizia awamu ya Magufuli, yaani anamalizia Urais wa Magufuli. Jambo ambalo siyo kweli, Rais akishakufa Urais wake umekomea pale, Serikali yake imeishia pale.

Rais Samia kwa kutomteua Waziri Mkuu na kuteua Baraza la Mawaziri akishirikiana na Waziri Mkuu, kumefanya baadhi ya mawaziri vichwamaji kuamini kwamba wanatumikia serikali ya Magufuli, na Magufuli ndiye aliyewateua (japo ni Samia aliyewateua tena kwa tittle zile zile na wengi kwa nafasi zilezile). Hawa royalty yao ipo kwa marehemu, japo hayupo, kuliko kwa Rais Samia, na hawa ndiyo mchana wanamsifia Samia, usiku wanasema Samia hana uwezo.

Ushauri
Rais Samia, kama anataka kufanikiwa, ni lazima ateue serikali yake ya awamu ya 6.

Katiba ipo wazi, Rais akifariki, Makamu wake anakuwa Rais. Ni Rais kamili, hamalizii uongozi wa marehemu, ambao kimsingi unakuwa haupo, anakuwa Rais kamili kama Rais aliyechaguliwa kwa kura.

Katiba inaeleza namna ya kumpata Rais baada ya aliyekuwepo kufariki, lakini haisemi kuwa atakaimu nafasi ya marehemu au atapungukiwa mamlaka au kulazimika kufuata chochote cha mtangulizi wake, isipokuwa katiba.

Kuna watu hawataki kuamini kuwa Rais aliyekuwepo, sasa hayupo, na alipofariki hakuacha mamlaka yoyote nyuma. Amefariki, na mamlaka yake yameishia pale. Hawaamini kuwa Samia yule akiwa makamu wa Rais, ambaye walimwona hana uzito wowote kwa sababu walikuwa wanaripoti moja kwa moja kwa Magufuli, sasa ndiye mkuu wa nchi na ndiye mkuu wao aliye na uwezo wa kumteua yeyote amtakaye na kumwondoa mteuliwa yeyote.

Hawa wanafanya jitihada nyingi usiku na mchana, kuthibitisha kuwa Rais Samia hana uwezo. Wakimshauri, wanamshauri wakiwa na hila. Bila shaka, na kwa uwezekano mkubwa, baadhi yao ndio walimshauri Rais aidhinishe kukamatwa kwa Mbowe na kumbambikizia kesi ya ugaidi Mbowe na makomandoo, wakijua hilo litamchafua sana na kupoteza uungwaji mkono mkubwa ulioanza kuonekana kutoka vyama vya upinzani.

Rais Samia, sasa anatakiwa kufikiria kwa umakini sana anaposhauriwa. Lengo la hawa washauri wenye hila ni kutafuta kila namna ya kumtenganisha na wananchi. Kwa hili la Mbowe, wamefanikiwa sana. Maana mamilioni waliokuwa wakimwunga mkono Rais Samia, kulala la kuamka wakaanza kumlaani sana.
Nadhani huenda umetoka TLS na unatoa tafsiri finyu sana ya ya katiba; unashindwa kutofautisha kati ya urais na serikali! Yaani unachukulia kuwa rais na serikali ni kitu kimoja ambavyo siyo kweli kabisa.
 
Hayo ya kubadili mawazili yameandikwa wapi kwenye katiba kama ilivyoandikwa ya umakamu kuwa raisi kama ni takwa la kisheria?
 
Alitakiwa kuvunja baraza la mawaziri, kuteua Waziri Mkuu, kuwateua mawaziri wapya, hata kama, Waziri angekuwa ni yule yule au mwingine, na mawaziri wakawa wengi wakawa ni wale wale au wapya.
Unapovunja baraza la mawaziri katika muhimili mwingine kama bunge ni kitu gani kinatokea?.
 
Back
Top Bottom