JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,467
- 18,239
Kinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.
Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara
Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo"sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?
Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni
View attachment 2486599
BRITISH BROADCAST COPALETIONBBC kirefu chake Ni nini vile?
Hiyo BBC labda ahojiwe na Kikeke atakaeweza kumkaripia. Akihojiwa na wazungu atamwaga chozi kwenye interview.Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni
big black k0ckBBC kirefu chake Ni nini vile?
Umekosea mkuu ni Blitish Bloadcast Copaletion🤣BRITISH BROADCAST COPALETION
ndugu umeua kwa maoni yako,bravoKinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.
Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara
Hoja yako sioni mashiko yoyote! hata Ruto kuna picha nyingi tu kapiga nao anywa ndiyo uhuru wa mawazo ulivyo, lakini bora tujadili zaidi issues siyo watu.Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?
Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni
View attachment 2486599
Punguza makasiliko Rais Samia Suluhu anachukuliwa kama mwanadiplomasia wa kwanza mwananmke east africa na mazungumzo aliyozungumza jana sana sana amezungumzia suala la kukuza kilimo nchini aSasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?
Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni
View attachment 2486599
Safi sana watanzania wengi wanaendeshwa na story za vijiweni na wala sio uhalisia inatakiwa tuweke macho kwenye outcome ya hizi safari kama safari hii vijana tunakwenda kunufaika na kilimoKinacholeta tija ya ziara za Rais Samia picha wala video ni matokeo chanya ya ziara zake. Kipekee, napenda kumpongeza sana Dkt. Samia kwa uwazi wa hali ya juu kwa anayofanya na hii inatoa picha halisi ya matumaini.
Ususibiri picha subiri uwekezaji, masoko ya nje, biashara
Copa whatBRITISH BROADCAST COPALETION
AmekusikiaSasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu?
Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto, sio kuleta mapicha tu na kutuambia yupo mazungumzoni
View attachment 2486599