MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 922
- 1,094
Chai ni nzuri.....upate usingizi harakaHeheheeee hiyo barabara ya manyovu to kakonko inapita wapi mzee mbn chai usiku usiku
Labda anamaanisha ile ya Kasulu-Kibondo- Kakonko ambayo ndio inatengenezwa sasa hiviHeheheeee hiyo barabara ya manyovu to kakonko inapita wapi mzee mbn chai usiku usiku
Mm mwenyewe namshanaga anachosema huyu ,barabara inayozungu ziwa Happ Ni ya kutoka nyakanazi had kibondo ndio km 250 na siyo manjovu to kakonko hii kitu Hakuna km za hvyo ,amaekurupuka huyuHeheheeee hiyo barabara ya manyovu to kakonko inapita wapi mzee mbn chai usiku usiku
Ni siku nyingi sijaenda Kigoma, nimebaki najiuliza Peke yangu!!Heheheeee hiyo barabara ya manyovu to kakonko inapita wapi mzee mbn chai usiku usiku
Mbona hiii barabara ipoo, umetokaa nyakanazi, Hadi kibondo to kasulu, ukifika kasulu kabla hujafika mjini huku mwanzoni mwa Kijiji Cha kidyama, imechepukia hapoo, kuacha inayoendelea kasulu mjini kwenda kigoma, yenyewe inapandisha kuelekea mashamba ya Kijiji Cha kabangaa Hadi mlima uitwao lusunwe adi huko manyovu. Hii barabara itakapoisha haitakua na mfano wowotee hapa balani Africa Kwa viwango inavyojengwa.Labda anamaanisha ile ya Kasulu-Kibondo- Kakonko ambayo ndio inatengenezwa sasa hivi
Hiyo imeanza kujengwa tangu enzi za JPM na ndo barabara pekee iliyobaki ya vumbi inayounganisha Kigoma na mikoa mingineLabda anamaanisha ile ya Kasulu-Kibondo- Kakonko ambayo ndio inatengenezwa sasa hivi
Ile ilijengwa miaka hiyo na KikweteVipi ile barabara inayounganisha mkoa wa Kigoma na mkoa wa Tabora (ya Kaliua - Kigoma ) hajaiongelea?
Kama hajaiongelea basi ujue hii ni chai toka ikulu.
Manyovu to kakonko unaijua au unataka kumdanganya Rais?Ni kama ndoto kwa wakazi wa Kigoma kilio cha muda mrefu kinaenda kuwa historia baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kuidhinisha pesa kwa ajili wa Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Manyovu hadi Kakonko zaidi ya kilometa 260. Ni kama Rais samia anasema sifa ya watu wa kigoma ibakie kuwa ubishi si Barabara za vumbi
Ulikuwa ni utaratibu wa kawaida kwa wakazi wa Kakonko kuogopa kusafiri na nguo safi wakihofia vumbi la njiani na Ubovu wa Barabara. Sasa hali hii inakwenda kuwa historia
Kama hiyo haitoshi Serikali ya Rais Samia imetoa Pesa kugharamia Ujenzi wa barabara kutoka Malagarasi-Ilunde-Uvinza kwa kiwango cha lami urefu wa takribani KM 51.1 utakaogarimu shilingi bilioni 62.5
Huu ni mwendelezo wa Serikali ya Rais Samia kuendelea kuufungua mkoa wa kigoma wenye fursa mbalimbali na kurahisha kuinua maisha ya wakazi wa Mkoa huu..
Wewe ndo hupajui hii inaitwa kabingo(kakonko) to Manyovu(munanila) km 260...ni multinational kwa ufadhili wa afdbManyovu to kakonko unaijua au unataka kumdanganya Rais?
Inapita Manyovu - Buhigwe-Kasulu-Kibondo-Kakonko!Heheheeee hiyo barabara ya manyovu to kakonko inapita wapi mzee mbn chai usiku usiku
Utakuwa huijui Kasulu!Ni siku nyingi sijaenda Kigoma, nimebaki najiuliza Peke yangu!!
Bado haijakamilka ndugu. Kuna kipande kirefu tu hakijawekwa lamiIle ilijengwa miaka hiyo na Kikwete