Ngorongoro ni mfupa mgumu sana,na ndiyo ulimngoa Jerry Silaa kule Wizara ya ardhi na kutupwa Mawasiliano!!Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Hili nalo litapita, kuja kufika October 2025 watu watakuwa wameisha sahau hivyo ukifika ule muda niHili litamvurugia pakubwa sana 2025.
Huna hata like 1 hapa kuonesha unaongea shudu4)...watanzania wamepigwa na butwaa..."[emoji44][emoji44]
1951 wakazi wa kimaasai walihamishwa mbuga ya Serengeti ili kuwa "NP"...uhamisho huo ulifanywa na WAZUNGU....
SELOUS walihamishwa jamii ya WANDENGEREKO NA WAMATUMBI kupisha mbuga kuwa "NP"...ama kwa kuwa hawa si wamaasai (nilotics)?!! [emoji1787].
Hakuna cha butwaa bali hii TAHARUKI ni ya KUTENGENEZWA....
1951 hakukuwa na MITANDAO YA KIJAMII....
Ya Selous hayakuwa na MITANDAO YA KIJAMII wala WANAHARAKATI [emoji1787]
#No retreat No Surrender [emoji2956]
#Nchi Kwanza ,Samia anafuatia [emoji2956]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha waah hapo, sidhani kama itakuwa rahisi hivyo.Hili nalo litapita, kuja kufika October 2025 watu watakuwa wameisha sahau hivyo ukifika ule muda ni
unachukuwa ...
unaweka...
... (malizia)
P
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi, naunga mkono hoja.Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Kwa kauli ya utani alietoa bw Nape jibu ni hapana.Uchaguzi wa Tanzania unategemea Kura?
sisiWho cares?
Hapana na kwenye hilo ndio kunawapa nguvu ya kufanya chochote bila kujali.Kwani ccm wanategemea kura zenu kushinda chaguzi?
Hakuna ugumu wowote, ni mserereko tuu kama kawa...Hakuna cha waah hapo, sidhani kama itakuwa rahisi hivyo.
SawasawaNampenda sana rais Samia..
Ila ktk hhili nadhani washauri hawajafanya kazi yao vyema.
Itoshe kusema wamsaidie
( kwamba urais kama taasisi)
Ameshachukua cha watu.....kujua wa tz wajinga ndio ndio yeye chura kiziwi......atajutaaaSuala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Tatizo Familia Wanataka utajiri wa haraka Toka kwa mwarabuSuala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Urais ni mali yake binafsi,tusimpangie nini afanye na kutofanya...time will telNampenda sana rais Samia..
Ila ktk hhili nadhani washauri hawajafanya kazi yao vyema.
Itoshe kusema wamsaidie
( kwamba urais kama taasisi)
Na waliopitisha Sheria ya wamasai kuwa ngorongoro ni Nyani au Nguruwe4)...watanzania wamepigwa na butwaa..."[emoji44][emoji44]
1951 wakazi wa kimaasai walihamishwa mbuga ya Serengeti ili kuwa "NP"...uhamisho huo ulifanywa na WAZUNGU....
SELOUS walihamishwa jamii ya WANDENGEREKO NA WAMATUMBI kupisha mbuga kuwa "NP"...ama kwa kuwa hawa si wamaasai (nilotics)?!! [emoji1787].
Hakuna cha butwaa bali hii TAHARUKI ni ya KUTENGENEZWA....
1951 hakukuwa na MITANDAO YA KIJAMII....
Ya Selous hayakuwa na MITANDAO YA KIJAMII wala WANAHARAKATI [emoji1787]
#No retreat No Surrender [emoji2956]
#Nchi Kwanza ,Samia anafuatia [emoji2956]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio wanaochukia ngorongoro au unataka kuwa ghilibu watu hapo na kufananisha na hiyo tenda ya kuwafanyisha kazi hao Arab contractorsWaarabu waarabu waaarabu waarabu waarabu waarabu...
OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDERS na hao jamaa ?!! [emoji1787]
Mbona hamweleweki?!!!
Ni hayati JPM aliyewapa tenda ARAB CONTRACTORS wa MISRI kulijenga BWAWA LA UFUAJI UMEME MWALIMU NYERERE ......
Mnafeli wapi ?!! [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Selou haikuwahi kuwa NP, Bali ilikuwa game reserve.Ni hapohapo SELOUS ambapo miaka mingi nyuma WANDENGEREKO waliondolewa kupisha "NATIONAL PARK"...
Miaka mingi baadaye "WAARABU" wa MISRI (ARAB CONTRACTORS) wakapewa TENDA ya ujenzi wa BWAWA LA UFUAJI UMEME la Mwalimu JK.Nyerere.....
Kwa kuwa mwenyewe hutaki kuupanua ubongo wako kwa mifano niliyokupa hapo juu ,katu mimi SIKUPANUI....
#Samia na maono kuntu ya JMT[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mzungu wa Gurumeti mbona hamumsemi?Basi wanaondolewa Masai lile eneo wapewe Wazungu. Happy now, Mwijaku?