PreGE2025 Rais Samia aahidi Milioni 30, ukarabati wa Kanisa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,612
Reaction score
40,158
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia hiyo na maandalizi ya Jubilee ya miaka 125 ya uinjilishaji pamoja na ujenzi wa nyumba za Watawa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Screenshot 2025-03-30 231005.png

Source: clouds fm
 
View attachment 3288314
 
View: https://www.instagram.com/p/DH1gr6Ks3hW/?igsh=MWZneGk3amdpaTdrdg==
 
Back
Top Bottom