GE2025 Rais Samia aahidi Kukamilisha Ujenzi wa Bandari Kavu Tunduma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha ujenzi wa bandari kavu yenye ukubwa wa ekari 1800 katika eneo la Katenjele lililopo Tunduma mkoani Songwe.

Dkt. Samia amesema bandari hiyo itaondoa changamoto ya malori kupaki muda mrefu barabarani yakiwa yanaelekea Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia.

Dkt. Samia amesema hayo leo Septemba 03, 2025 wakati akinadi sera za CCM kwa wananchi wa mkoa wa Songwe, ikiwa ni mwendelezo wa mikutano ya kampeni za chama hicho.

Screenshot_20250901-172332~2.png
 
Back
Top Bottom