Halafu kule msikitini nako akamdanganya Muumba liveItakuwa yeye mwenyewe hajiheshimu ndio maana haheshimiki. Kwanza alipita bila kupingwa. Waziri Mkuu unapitaje kwenye jimbo lako kwa kutegemea mbeleko?
Huwa nashangaa Sana kusikia eti naye kwenye mbio za 2025 yumo!!Marais wote wawili wamewah kumsema Kasim
Sasa jiulize kwann yeye tu asemwe.na Marais wawili mfululzo
KASSIM ANASHIDA AWE MAKINI
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata Ummi mwalimu au Jafo ni far better kumzidi..Hatapatikana PM kama Majaliwa katika CCM ya sasa.
Ndugai alisifu kamaweweUsitusemee bwashee,
utajuta mwenyewe
Sie wengine hatujuti na hatutajuta
Mama piga kazi
Kusema mtu anafaa, ambaye hajawahi kufanya hiyo kazi, ni upunguani.Hata Ummi mwalimu au Jafo ni far better kumzidi..
Hawana akili hata kidogo maana wangekuwanazo katiba ya CHADEMA isingempa Mbowe uenyekiti wa mpaka afe.Atafanyaje sasa wakati mama ndio boss wake ?
Hivi unaijua nguvu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano ? Kaisome vizuri katiba utaona. Unadhani wanaodai katiba mpya hawana akili ?
Katelefon ana kikundi chake cha urais, ambacho yuko Mgogo, yuko kibajaji, yuko Bashiru, yuko mjane anae itwa Jenny.. Hao ndio wanamzunguka Mama, pia kuna Chemba nae na grp lake, yaani mambo ni mengi.Tangu mama alipoingia madarakani hakumtaka Majaliwa ila alitulia kwa kuheshimu cheo chake cha uwaziri mkuu
Hatapatikana PM kama Majaliwa katika CCM ya sasa.
Kwenye kampeni matangazo yalikua chagua magufuli siyo Samia wote ni wateule wa maguHujawahi kupiga kura? Kwenye karatasi ya kupiga kura picha zote mbili za mgombea urais na mgombea mwenza zinakuwepo. Kwa hiyo ukitia tick kwenye kibox maana yake ni kwamba umewachagua wote wawili. Hivyo SSH alipigiwa kura pia
Mteuliwa nae kateuaNa huyu makamu wa sasa nae alipigiwa na nani
Halafu zilikuwa tarehe kama hizi hizi za mwanzo wa mwakaMarais wote wawili wamewah kumsema Kasim
Sasa jiulize kwann yeye tu asemwe.na Marais wawili mfululzo
KASSIM ANASHIDA AWE MAKINI
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Upunguani first class ni kudhani Kuna mtu maalumu amezaliwa akijua kazi fulani, hata wewe hukuzaliwa ukiwa unajua chochote...Kusema mtu anafaa, ambaye hajawahi kufanya hiyo kazi, ni upunguani.
2024 Tukutane hapa Tubadili katiba Rais Samia atawale milele atake asitake. Hakuna kama Rais Samia.
Kumuandama kassim ndio mpango wao wahuni. Kuna watu wamewalenga ila wakiendelea moto utawaka.Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.