Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,439
- 6,692
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, baada ya tuhuma nzito zilizotolewa na Mkuu wa Polisi, Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi amemshutumu Mchunu pamoja na Naibu Kamishna wa Polisi, Shadrack Sibiya, kwa kuingilia uchunguzi nyeti na kushirikiana na mitandao ya kihalifu.
Katika taarifa yake, Rais Ramaphosa alisema amempa Mchunu likizo ya dharura ili kuruhusu uchunguzi wa tume maalum inayochunguza tuhuma hizo.
“Ili tume iweze kufanya kazi kwa ufanisi, nimeamua kumpa Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, likizo ya mara moja. Waziri ameahidi kushirikiana kikamilifu na tume hiyo,” alisema Ramaphosa.
Profesa Firoz Cachalia ameteuliwa kuwa kaimu Waziri wa Polisi. Mkhwanazi pia amedai kuwa Mchunu na Sibiya walivunja kitengo maalum cha kupambana na uhalifu kilichokuwa kinachunguza mauaji yenye sura ya kisiasa yanayohusishwa na magenge ya kihalifu.
Rais Ramaphosa amesema tume hiyo itachunguza iwapo maafisa wa sasa au waliopita walishiriki kusaidia uhalifu huo, walipuuza taarifa muhimu, au walinufaika kisiasa au kifedha kupitia mitandao hiyo ya kihalifu.
Vyama vya upinzani vimekosoa hatua hiyo, vikisema kumsimamisha tu haitoshi, na wamemtaka Rais kumfuta kazi Mchunu mara moja.
=============================
South African President Cyril Ramaphosa has suspended Police Minister Senzo Mchunu following serious allegations made by General Nhlanhla Mkhwanazi, a top police official. Mkhwanazi accused Mchunu and Deputy Police Commissioner Shadrack Sibiya of interfering in sensitive investigations and colluding with criminal syndicates.
The suspension comes amid growing concern over alleged political interference within key law enforcement agencies. President Ramaphosa announced the decision publicly, stating, “In order for the Commission to execute its functions effectively, I have decided to put the Minister of Police Mr Senzo Mchunu on a leave of absence with immediate effect. The Minister has undertaken to give his full cooperation to the Commission to enable it to work properly.”
Ramaphosa has appointed Professor Firoz Cachalia as acting Minister of Police. Meanwhile, Mkhwanazi further alleged that Mchunu and Sibiya disbanded a critical crime-fighting unit that was investigating a string of politically motivated killings. These killings were reportedly linked to organized criminal networks.
Source: Africa News