kilyabanu mkono
Member
- Oct 4, 2019
- 48
- 65
Nimecheka ulivyoruka ushaidi eti source " nilisikia wanasimulia kwenye daladalaSI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.
Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.
Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
[emoji23]SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.
Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.
Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
Hii tunakunywa kwa imani ukiwa na imani ni kinga na tibaVipimo ni feki unajuaje kwamba haumwi??
Mimi nilisikia kwa watu wa Rwanda huenda kuna ukweliNimecheka ulivyoruka ushaidi eti source " nilisikia wanasimulia kwenye daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
nilisikia wanasema eti sijui kwa sababu msukuma sikuelewa nkasepa zanguHahaha huyu PK mshenzi sana. Yani dunia nzima alimuona mkulu ndio wakuja? 😀😀😀
[emoji3][emoji3][emoji3] dingi umeuwaaSI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.
Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.
Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
Umeshashiba kashata na ukapewa ubuyu ushushie, mwambie akuongeze kikombe cha kahawa nakuja kulipaSI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.
Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.
Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
DuuhHUYO JAMAA ANAEKUNYWA DAWA HAPO JUU NI PROFESA??NADHANI AMEINYWA HATA KABLA HAIJAPIMWA NA MKEMIA WETU
Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuuRafiki wa karibu alikuwa motto was Jaramongi lakini juzi naye kamtosa kwa kuwa hashauriki na kasema mbishi sana. Kwa hapa ndani tulidhani huyu anaweza kuwa rafiki, lakini baada ya kuona Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuu. Hitimisho ni kuwa hana rafikiView attachment 1444185
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh. Hajui kuwa rais ni taasisi Pia hatambui kuwa maamuzi yake hayawezi kutoka kwake peke yake Lazma awe na washauri,family is a family, nation is a nationKila Rais Duniani ana Rais either Rafiki, Mshauri kwenye baadhi ya mambo. Ukimtazama Trump unaiona picha ya Waziri mkuu wa Uingereza au Israel. Ukimtazama Putin unaona picha ya Rais wa china pia. hata watu wabishi kama Kim lakini N Korea ni rafiki mkubwa wa China Urusi. sasa ukija kwetu tulijua atashikamana labda na Kagame na mseveni kumbe wala hana hata habari.
Sasa mtu unajiuliza tuna rais wa namna gani ambaye hata marais madicteta wameanza kumtilia shaka anashauriwa na nani kama washauri wa ndani wote wapo kimya juzi kamfuta kazi mshauri wake wa mambo ya sheria? je Rais mshauri wa rais wetu ni nani?
Tanzania tumefika sehemu ya rais wa nchi nyingine kumshutumu rais wetu waziwazi kweli bado tunaamini tupo sawa kama nchi? nchi kama rwanda inazuia magari yetu kwenda kwao tunaona tupo salama,
Mseveni anamshutumu wazi wazi rais wetu sisi tunaona ni sawa tu, nchi rafiki wa kihistoria kama S. Afrika wanatushutumu wazi wazi sisi tunaona sawa tu?
Magufuli nchi rafiki wa Tanzania Ni Nani?
ChatoKila Rais Duniani ana Rais either Rafiki, Mshauri kwenye baadhi ya mambo. Ukimtazama Trump unaiona picha ya Waziri mkuu wa Uingereza au Israel. Ukimtazama Putin unaona picha ya Rais wa china pia. hata watu wabishi kama Kim lakini N Korea ni rafiki mkubwa wa China Urusi. sasa ukija kwetu tulijua atashikamana labda na Kagame na mseveni kumbe wala hana hata habari.