Rais Putin: Marais wa Marekani ni puppets

Rais Putin: Marais wa Marekani ni puppets

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,507
Reaction score
7,475
Katika mahojiano yake na chombo kimoja cha habari rais Putin amedai kuwa Marais wa Marekani hawaongozi wenyewe kama wanavotaka


 
Naomba kujua marais wa afrika mashariki wanaovuta bangi

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Uhuru-Kenyatta-Kenyas-dep-010.jpg
 
Marekani haiongozwi kwa kufuata utashi wa rais pekee.kule Rais hana mamlaka makubwa kama huku kwetu

huo ndo upuppet?! kuna mambo rais anafanya kwa utashi wake ndo maana comey hayupo ofisini leo
 
huo ndo upuppet?! kuna mambo rais anafanya kwa utashi wake ndo maana comey hayupo ofisini leo
Mkuu nilimaanisha kuwa marekani haikupata maendeleo sababu (tu) ya marais walioiongoza
 
Ni ma puppets kwa sababu hawaongozi wanavyotaka, ni mapupets wa sheria na bunge.
puppets wa wafanyabishara ambao ni 1% ya wamarekani,ndoman siku 2,3 zilizopita raia walitaka warudishiwe nchi yao kwa maandamano
 
Back
Top Bottom