Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Leo tuanze na Putin mkuu,au ni nongwa kumsema Putin.Usisahau pia kuwacriticize viongozi wako wanaokuahidi wataleta maji na umeme vijiji vyote tangu 1980's lakini bado ni story hadi leo.
Afanye basi aache ngonjera kama Mahayatolah wa Iran au viongozi wa Korea Kaskazini.Mbona alisema watakaoisaidia Ukraine watakiona cha mtema kuni lakini mpaka leo Germany,Poland,Latvia na Finland zinaisaidia Ukraine na hawajakiona hicho cha mtema kuni msomi?????Temea mate chini,,!
Ulaya Magharibi, wanajua anachosema,,! Ila Wewe endelea kuota,,!
Huoni kama wameona cha mtema kuni?uchumi WA nchi hizo sasa hivi umeterereka kila siku maandamano hayaishi nchi za ulaya,wafanyakazi wanagoma nchi nyingi za ulaya sio lazima vita mzee.nyie Team NATO kila siku nawaambia tumieni Akili.Afanye basi aache ngonjera kama Mahayatolah wa Iran au viongozi wa Korea Kaskazini.Mbona alisema watakaoisaidia Ukraine watakiona cha mtema kuni lakini mpaka leo Germany,Poland,Latvia na Finland zinaisaidia Ukraine na hawajakiona hicho cha mtema kuni msomi?????
Acha siasa mkuu sote watu wazima hapa🤣🤣🤣.cha mtema kuni alichomaanisha Putin alisema atawavamia kijeshi.Huoni kama wameona cha mtema kuni?uchumi WA nchi hizo sasa hivi umeterereka kila siku maandamano hayaishi nchi za ulaya,wafanyakazi wanagoma nchi nyingi za ulaya sio lazima vita mzee.nyie Team NATO kila siku nawaambia tumieni Akili.
Mkuu ulisikia ile hotuba yake au unaleta ushabiki penye ukweli ??????Huoni kama wameona cha mtema kuni?uchumi WA nchi hizo sasa hivi umeterereka kila siku maandamano hayaishi nchi za ulaya,wafanyakazi wanagoma nchi nyingi za ulaya sio lazima vita mzee.nyie Team NATO kila siku nawaambia tumieni Akili.
Tumia Akili mkuu kwani Russia avamie hizo nchi Kwa yenyewe imewamiwa?tumia Akili mkuu.atapigana na hizo nchi za NATO iwapo watajitosa moja Kwa moja kwenye vita vya ukraine.kwanini nyie Team NATO hamuwezi kufikiri kiasi hicho?Acha siasa mkuu sote watu wazima hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].cha mtema kuni alichomaanisha Putin alisema atawavamia kijeshi.
Tumia akili mkuu kwani Putin alipokua anazitisha nchi nyingine alikua anamaanisha nini.Mbona unakua msemaji wa putin kubadilisha alichokisema.Au msomi baada ya malengo yake kivita kutofikiwa basi anazikana kauli zake adharani???Tumia Akili mkuu kwani Russia avamie hizo nchi Kwa yenyewe imewamiwa?tumia Akili mkuu.atapigana na hizo nchi za NATO iwapo watajitosa moja Kwa moja kwenye vita vya ukraine.kwanini nyie Team NATO hamuwezi kufikiri kiasi hicho?
Mimi bwege tena mkuu.Msaada wa kijeshi au mchango wa kivita wewe unajua ni askari wa miguu tu au kutuma silaha???.Putin hana tofauti Mussolini maneno meengi vitendo zero.Afu mkuu mbona huko very emotional kuliko sisi tulioishi urusi na kujua hali halisi ya siasa za kule.We bwege ni nchi gani mpaka sasa imeingiza jeshi lake ukraine kupigana na urusi? kutuma siraha ni mtindo wa kawaida kwa kila nchi rafiki kusaidia taifa rafiki lishinde vita..
ikitaka kujua Putin hatanii... wambieni hao nato watume jeshi nchini Ukraine ndo utakapopata jibu sahihi la swali lako
Si alisema Finland na Sweden zikijiunga na NATO zitakumbana na matokeo mabaya na anaweza kuzivamia.Tatizo la watawala wa sasa wa Russia wanaongea sana bila vitendo.Jamaa alikuwa na ndaro sana mpaka Finland na Sweden waliogopa lakini kumbe akiona kweli anaufyata balaa, sasa Finalnd na Sweden zinaenda zake NATO mchana kweupe
Mm ndicho nachoona pia,hakuna wa kuliwnzisha kama Hitler au Hishimoto kipindi kileHizo pande zote mbili wanaogopana
Kashapiga vodka hapa muheshimiwa😂😂
We bwege ni nchi gani mpaka sasa imeingiza jeshi lake ukraine kupigana na urusi? kutuma siraha ni mtindo wa kawaida kwa kila nchi rafiki kusaidia taifa rafiki lishinde vita..
ikitaka kujua Putin hatanii... wambieni hao nato watume jeshi nchini Ukraine ndo utakapopata jibu sahihi la swali lako
Coward putinSi alisema Finland na Sweden zikijiunga na NATO zitakumbana na matokeo mabaya na anaweza kuzivamia.Tatizo la watawala wa sasa wa Russia wanaongea sana bila vitendo.