Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Nimeona bwana last night [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kina kwenda kuwaka hapo Syria watajua hawajui
Bwana kiduku ana usemi upi?
hahahaDunia sasa itapata amani maana wa kumfunga paka kengere ashapatikana
Yajayo Yana furahisha sana [emoji28]Pona yao ni kukimbia maana mziki wake sio wa kitoto
Jinsia yako tufahamuHakuna, sehemu Russia imeionya USA. Muandika threads muongo na hajui lugha