Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Dungu zangu,niombe kwanza nianze na kusema katika hali ya kawaida,HAKUNA KITU kinacho udhi kama ndani ya taifa moja kuna kuwa na taarifa mbili au zaidi zinazokinzana toka kwenye mamlaka moja tena kubwa kitaifa.
Nakumbuka siku moja niliwahi kumskiliza W/mkuu,akieleza kuwa serikali imeridhia mswada wa mahakma ya kadhi kujadiliwa, na alienda mbele zaidi kuwa,anakubaliana na mahakma hio kwani kulingana na sheria za dini ya kiislam mambo kama ya ndoa,urithi nk, yamekuwa yakiendeshwa tofauti na dini inavyowataka wenzetu wa kiisalamu.kwani wamekuwa wakifuata sheria za serikali.
Hivyo akasema kwa sasa serkali imeridhia kuliingiza swala hili kwenye moja ya miswada itakayoweza kupitishwa kuwa sheria juu ya hawa wenzetu wa upande wa pili(waisalam)
Baada ya kuwa kumetokewa sintofahamu ya hapa na pale kama kawaida mzee wa kupima kina na ujazo wa maji rais wangu kipenzi,ameona maji haya ni yashingoni.
Leo kwenye taarifa ya habari ITV,akiongea na viongozi wa Dini amekanusha kuwa swala la mahakma ya kadhi halitawekwa kama sheria na kuwa serikali haitajihusisha nalo kabisa!!.
Ameenda mbali zaidi kuwa Waislamu wataishughurikia wao wenyewe serikali haitahusika,.
Mimi nahoji kwanini hawa viongozi wakuu wawili wanatoa taarifa mbili tofauti zinazokinzana kwenye hasa jambo nyeti kama hili?je wanatukebehi wananchi?
(NIOMBE TUSIJADILI KUFAA AU KUTOFAA KWA MAHAKAMA HII) kwenye uzi huu kwani hilo sio lengo langu:-D