Kwaiyo uyo mchezaji sio mtu wa maana"....wanaopoteza mamilioni Yao kumsajili pia nao wajinga!?mmmh kazi ipo..hii picha hapa ishaletwa zaidi ya mara Tatu nawatu tofauti siungechangia tu za wenzio AMA wewe umeonakunalazaidi kwenye iyo picha tofauti nawenzio waloleta mwanzo!?
Ungeuliza walikutana vp kwanza ndo uanze kuleta mdomo sio kupayuka tu bila mpango.Wakweree michezo na ngoma ni jadi yao kwahiyo msishangae sana jamaa anapowababaikia sana wachezaji wa michezo na sinema!!!
kitu kimoja nilishindwa kuelewa hapa, maana wawili hawa walikutana Hearthrow.
Je, walikutana tu kwa bahati wakati pengine Beckham akiwa kwenye mchakato wa kwenda Athens na JK akiwa transit kwenda US? kama situation ilikua hivi nani aliyejipendekeza kwa mwenzake?
Au hiki kilikua ni kikao rasmi cha Mkuu wa kaya kuendelezq lile wimbi la kutaka at least kupiga picha na kila super star?
Gere mama gere mama, wanamuonea gere. Mtausaga mtama muubwie wenyewe!