Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Hivi sasa watumishi wa umma hawatakiwa kusafiri labda tu kama safari husika ina tija kwa Taifa na iwe imepata kibali cha Rais au Katibu Mkuu kiongozi yote hii ni katika kubana matumizi ya serikali.
Sasa najiuliza hivi Rais wa nchi na mke wake (First Lady) wanaposafiri nje ya nchi huwa hawalipwi perdiem?Kama wanalipwa,si kweli serikali ndio inawagharamia kila kitu kuanzia malazi mpaka chakula?Sasa hii fedha wanalipwa kwa kazi gani hasa?
Hii tukiita ni posho hewa tutakuwa tunakosea?
Naomba majibu sio siasa.