Rais Mwinyi: Sitasimama hadharani kuwajibu Wapinzani wanaoisema vibaya Serikali ninayoiongoza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,150
Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi amesema kuna viongozi wa upinzani ambao badala ya kuunganisha nguvu na kuijenga Zanzibar wao wamekuwa mstari wa mbele kuisema vibaya serikali.

Dkt. Mwinyi amesema yeye binafsi hatasimama hadharani kuwajibu viongozi hao wa upinzani.

Chanzo: ITV habari
 
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi amesema kuna viongozi wa upinzani ambao badala ya kuunganisha nguvu na kuijenga Zanzibar wao wamekuwa mstari wa mbele kuisema vibaya serikali...
Hata wao hawataki uwajibu ila Wanataka wayaseme mabaya ya Serikali yako
 
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi amesema kuna viongozi wa upinzani ambao badala ya kuunganisha nguvu na kuijenga Zanzibar wao wamekuwa mstari wa mbele kuisema vibaya serikali.

Dr Mwinyi amesema yeye binafsi hatasimama hadharani kuwajibu viongozi hao wa upinzani.

Source: ITV habari
Zanzibar hakuna upinzani wa maana sasa hivi.

Ila popote ulipo mzee hussein mwinyi mpinzani credit yake ipo kwenye kuikosoa serikali na sio kuisapoti,hivyo mpinzani lazima akosoe tuu hata iweje.

Kwa sababu wakikosoa ndio wanawatia sumu wananchi wasipigie kura kiongozi aliyeko anayeomba tena,huo ndio mtaji wa wapinzani.

Mpinzani ni mtu wa maslahi yake tu.
 
Hiyo ni taarifa anatoa kwamba baada ya hapo hatokuja kufanya hilo jambo.

Nadhani umeelewa ila unataka kujoweka katika kundi la wapumbavu wakati wewe ni mtu mwerevu tu mkuu
Kwa alichokisema ni sawa kwani kwa Zanzibar wameshaungana na ACT ila kwa Bar hana pa kukwepea kero ni nyingi.
 
Watengenezewe sheria kama za waandishi habari tu, anakereka nini. Wapinzani si kama waandishi wa habari kutwa maswali maswali tu.
Vyama vya Siasa ni upinzani waandishi ni kama wapinzani
Atunge sheria tu, yeye si ndie Raisi. Ndio liwe jibu!
 
Mtalii hajui kuwa Wapinzani pia huikosoa Serkali iliyoko madarakani?

Basi tumletee Wapinzani kutoka Ukraine watakaomkososoa kwa Mabazooka.
 
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi amesema kuna viongozi wa upinzani ambao badala ya kuunganisha nguvu na kuijenga Zanzibar wao wamekuwa mstari wa mbele kuisema vibaya serikali.

Dr Mwinyi amesema yeye binafsi hatasimama hadharani kuwajibu viongozi hao wa upinzani.

Source: ITV habari
Mbona ameshawajibu sasa😂😂😂😂. Pili tunamkumbusha hata kuka kimya ni jibu pia. Yaani atake asitake atawajibu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo ni taarifa anatoa kwamba baada ya hapo hatokuja kufanya hilo jambo.

Nadhani umeelewa ila unataka kujoweka katika kundi la wapumbavu wakati wewe ni mtu mwerevu tu mkuu
Hayo ya upumbavu na uwerevu ni ya kwako maana siasa za hoja uvccm hamuwezi ila matusi tu, ubabe na vitisho.
Kwa hiyo ww ndo kakuambia hiyo aliyoitoa ni taarifa? Na kama ni taarifa kwa nani?
 
Watawala wa kiislamu wanaishi miaka mingi sana kwa sababu ya kuwatendea mema watz.
"Heshimu baba na mama Ili upate heri uishi miaka mingi duniani" maandiko yanasema
 
Hao hatare sana kwa fitna na pekeche pekeche ila wana kawaida ya kuigiza kama wajinga wajinga ili wawachote watu au maadui zao wawa under rate


Mzee Mwinyi hakuwa mjinga mjinga anajua kucheza karata zake vyema hata akamchota JPM kwa sifa za kuzidisha mara Katiba isitishwe apewe muda maalum wa ziada wa kutawala, mara sijui wao wote hawajafikia kasi ya JPM

Ukitaka kuwachota watu wa bara wee wape sifa hata wazisostahili …utapata unachokitaka
Huyu kafuata hekma za babake mzee ruksa
 
Back
Top Bottom