“Kwa wanafunzi narudia hatujafunga shule au vyuo ili mukapuyange huko mitaani, maana nashanga tumefunga ili mtulie nyumbani ila kila siku nawakuta mitaani mnahangaika mara mkumbatiane na kujiachia, kama hamuogopi corona tuwarudishe muendelee na masomo”- Rais Museveni wa Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app