Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026

Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Chama tawala nchini Uganda (NRM) kimemuidhinisha rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Museveni amekuwa rais wa Uganda kwa miaka 39 tangu 1986

Hii ni baada ya Rais Museveni kutangaza rasmi Juni 29, 2025 kudhamiria kuendelea kupeperusha bendera ya nchi hiyo kwa mara nyingine

===

Uganda's long-serving president, Yoweri Museveni, 80, has been declared the governing party's candidate in next year's presidential election, opening the way for him to seek to extend his nearly 40 years in power

In his acceptance speech, Museveni said that he had responded to the call and, if elected, would press ahead with his mission to turn Uganda into a "high middle income country"

Museveni's critics say he has ruled with an iron hand since he seized power as a rebel leader in 1986

He has won every election held since then, and the constitution has been amended twice to remove age and term limits to allow him remain in office


 

Attachments

  • 1751890339138.jpeg
    1751890339138.jpeg
    87.8 KB · Views: 24
To do tienne su final . (Spanish) Kila kitu kina mwanzo na mwisho. 1986 nilianza form one Sasa hivi ninaelekea kustaafu jamaa YUMO.
 
Back
Top Bottom