Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ameagiza sheria mpya ya ushoga kujadiliwa tena bungeni ili kunusuru uchumi wa uganda.
Amesema sheria hiyo aliyoisaini imekwamisha miradi mingi ya kibiashara na nchi za magharibi.
Hivyo ametaka sheria hio kali ya ushoga kujadiliwa upya na amesema lazima masirahi ya nchi yawe kwanza.
Mkumbuke Museveni alikuwa kifua mbele kuunga mkono sheria kali ya ushoga na aliitetea kwa nguvu zote na pia alisaini uku akisema Uganda ina rasilimali haitegemei misaada nje .
Sasa hivi kaamua kuwa mdogo.