Leo katika hali isiyo ya kawaida askari walitanda barabara kuania uwanja wa ndege wa Nduli mpaka ipogolo,kumbe kulikuwa na ujio wa rais mstaafu wa marekani,rais huyo aliwasili majira ya saa nne asubuhi na kuelekea kidabaga ambako inasemakana anamiliki kampuni la New forest ambalo lina eneo kubwa la miti wilaya ya kilolo