Rais Mstaafu Kikwete, akutana na waandishi wa habari kutoka Malaria No More

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana na ugonjwa wa malaria.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)




Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana na ugonjwa wa malaria. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Malaria No More” Martin Edlund.



Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.



Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.
 
Jk at his best nimependa hyo style ya kupiga picha sio lzma watu wote wakae pozi la tumbo tumbo
 
Upole, upendo, utu, utulivu na sifa nyingine ni mambo ambayo yanamfanya JK aendelee kufanya shughuli nyingi za kidunia. Personality ya JK ina nguvu sana, sio rahisi kwa huyo mzee kukaa bure bila ya kufanya shughuli fulani.
Huko ndiko kunakoitwa kuzeeka vizuri.
 
uwezo wa JK unatambulika dunia nzima, wengine sifa zao zinaishia namtumbo na kyerwa tu
 
Back
Top Bottom