Rais Mpigaji, Waziri Mpigaji, Katibu Mkuu Mpigaji... wengine wafanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Mpigaji, Waziri Mpigaji, Katibu Mkuu Mpigaji... wengine wafanye nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchokonoko, Jan 9, 2012.

 1. M

  Mchokonoko New Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii ndo Hali ilivyo,Je unafikiri yule mfanyakazi wa chini kabisa atafanya nini pale anapokutana na chance ya kupiga???
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wanakwiba serikalini ukiwauliza wanakwambia mkuu ndo zama izi atakuja raisi mnoko kama Magufuri patakuwa hapakaliki
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wizi mtupu.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndo kama Main Contractor mwizi,sub contractor mwizi,foreman mwizi na fundi mwizi
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mwananchi wa kawaida
   
 6. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  mwanakijiji mkulima na street fighters ndo tunaoitwa wananchi wa kawida. Wale ambao mikono yao haifikii keki ya taifa. Yaani sio watumishi wa umma wala wadau wakubwa.
   
Loading...