Umesahau ulivyokuwa unamnanga wakati wa uchaguzi?Mh Rais kila ninapo kumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.
Mh Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka.
Ingia maofisini watu hawajuwi hatima Yao ya Kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.
Nenda kwenye bihashara pesa hakuna nahata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.
Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni Kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.
Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana takukuru.
Mh Rais Mimi Nalia Nalia kweli kuna watu wanatutafuna kama kuku ktk Banda Mh Kweli ya Libya ndio yapo hapa Tz?
Mh Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana KAZI ivi kweli na watoto wenu hawana ajira kama watoto wa walala Hoi huku mtaani? Mimi Nalia Nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wataifa Naimani pia Angelia Sana.
Mimi Nalia Nalia nakutubu kama kweli Sisi Raia wako tuliokupigia Kura na tusiokupigia Kura kweli unatufanya hivi je twende wapi? Mbona umetufumbua macho kiasi Imani yetu juu ya serikali inazidi kushuka.
Mungu hivi nikweli umetusahau watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
...atutajie alipo. Benny saan8Umesahau ulivyokuwa unamnanga wakati wa uchaguzi?
Aise huyu jamaa ni hatari sana nadhani hata hapa anapima upepo tu.Na utalia sana, si ulimmezesha Ben Saa nane kwa Chatu, au siyo wewe?
TumainEl hii ni mara ya pili nakuuliza "Ni wewe kweli?"Mh Rais kila ninapo kumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.
Mh Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka.
Ingia maofisini watu hawajuwi hatima Yao ya Kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.
Nenda kwenye bihashara pesa hakuna nahata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.
Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni Kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.
Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana takukuru.
Mh Rais Mimi Nalia Nalia kweli kuna watu wanatutafuna kama kuku ktk Banda Mh Kweli ya Libya ndio yapo hapa Tz?
Mh Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana KAZI ivi kweli na watoto wenu hawana ajira kama watoto wa walala Hoi huku mtaani? Mimi Nalia Nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wataifa Naimani pia Angelia Sana.
Mimi Nalia Nalia nakutubu kama kweli Sisi Raia wako tuliokupigia Kura na tusiokupigia Kura kweli unatufanya hivi je twende wapi? Mbona umetufumbua macho kiasi Imani yetu juu ya serikali inazidi kushuka.
Mungu hivi nikweli umetusahau watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
ahaaa, kumbe ni huyu bwana?Na utalia sana, si ulimmezesha Ben Saa nane kwa Chatu, au siyo wewe?
Mkuu pole, kupitia roho mtakatifu, naona umeandika mada hii kwa uchungu mkubwa na kwa kumanishaMh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.
Mh Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka.
Ingia maofisini watu hawajuwi hatima Yao ya Kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.
Nenda kwenye bihashara pesa hakuna nahata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.
Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni Kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.
Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana Takukuru.
Mh Rais Mimi Nalia Nalia kweli kuna watu wanatutafuna kama kuku ktk Banda Mh Kweli ya Libya ndio yapo hapa Tz?
Mh Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana kazi hivi kweli na watoto wenu hawana ajira kama watoto wa walala Hoi huku mtaani?
Mimi Nalia Nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wataifa Naimani pia Angelia Sana.
Mimi Nalia Nalia nakutubu kama kweli Sisi Raia wako tuliokupigia Kura na tusiokupigia Kura kweli unatufanya hivi je twende wapi?
Mbona umetufumbua macho kiasi Imani yetu juu ya serikali inazidi kushuka.
Mungu hivi ni kweli umetusahau watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
Wewe si mmojawapo wanaopigia chapuo nchi kuwekewa vikwazo au umesahau?Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.