Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Habari za muda huu,
Leo mchana kutwa nilikuwa nikipata ujumbe na alert kadhaa kutoka kwa vijana na wabunge walio kambi ya upinzani.Wengi walimnukuu Rais Dr.Magufuli akisema yeye ni "Rais aliyechaguliwa na masikini"kuna mambo kadhaa ya kujiuliza na kukumbuka kipindi cha kampeni ili kupata mwanga kwa vijana hasa wana CHADEMA wanaofikiri kuwa Rais amepotoka;
1.Je Magufuli au Lowassa ni nani aliyewahi kufanya kampeni Masaki?
2.Kwanini Lowassa alikunywa chai Tandale,kupanda daladala na sio kunywa chai Sea cleaf ambako ndio chimbo lake au kupanda shangingi na kupiga picha?
3.Nchi yoyote raia wenye mapato ya chini ndio walio wengi,ndio wapiga kura.Sasa mmeonjeshwa na Mzee Lowassa utamu wa matajiri naona wote mpo nyuma ya Zakaria,RA na wabadhilifu wote?
4.Hivi hamkumbuki JPM alishaongea na matajiri(wafanyabiashara wakubwa) ikulu? Na juzi alikuwa anaongea na wananchi halisi walioumizwa na bei ya sukari?
Kwa mrengo ambao CHADEMA wamechukua umaarufu utaporomoka kwa kasi kubwa.Jaribuni kwenda Mwembeyanga na hoja ya kumtetea Zakaria, siku zinaenda kasi sana.