Rais Magufuli Yuko sawa Kweli?

Ukawa tuliwashauri ccm kuwa huyu brother abaki kwenye ujenzi mkatupuuza sasa filimbi za nini?
 
Bashite inawezekana alichanjwa chale kwenye fizi Mkulu haoni siio akili zake
 
Silkiliza kati ya 1:20:00 na 1:22:00. Sentensi yako ya mwisho, "Tanzania imepatwa na uwendawazimu" umeielekeza kwa mtanzania yupi?.

Yaani nchi ya Tz imepatwa na uwendawqzimu kwa kuvamiwa na huyu banyamulenge anayeropoka kila kukicha
 
kuna watu walimfananisha na Nyerere,huwa najiuliza Nyerere yupi??alafu wanafanana na Mwl.Nyerere katika lipi!!maana mwalimu Nyerere hakuwahi kuwa na matatizo ya akili yeye wala wanaukoo wake
 
Ulikosea sana kumwamini toka hiyo 2012. Na sasa watu kama wewe mnabidi mtubu na kuomba radhi kwa kuliletea Taifa uharibifu, usumbufu na hasara kubwa! Serious.

Wenzako Barafu na Technically walifanya hivyo ndani ya mwezi huu wa Machi 2017.
 
Mkuu jiandae kukamatwa.
Nani wamkamate hana Uwezo wa Kumkamata Jambazi anayemtuma Kila mahali anikamate mimi? Nafikiri mi unaniona tu Kwenye screen, Nikiwa Live ninatisha!
 
Marandu safi sana!!! Kila nikitafakari sipati jibu about our mukulu!!!!
 
raisi akipata uchizi katiba inasema nini? tujiandae........?????

Hapo ndio CCM watakapo juta kuchakachia katiba mpya. Ila jamaa miaka yake tano ikiisha lazima watanzqnia wote tutajua umuimu wa katiba ya warioba na CCM itapasuka tuu.
 
Kuna kitu kinachomulazimisha afanye hivyo sio buree
 
raisi akipata uchizi katiba inasema nini? tujiandae........?????
Nafikiri We are beyond that Now! Mtu atapata Uchizi Mara Ngapi Kama anaropoka Kama aliyemeza Kengele ya Kuchungia Punda, Akimwambia Jambazi, " Wewe chapa Kazi" Kwa hiyo ni Wazi Kuwa ndiye anayemtuma, Hata wale Askari waliokuwa wamevaa Makirikiri walikuwa ni Askari wa Kikosi Maalum (Secret Services) Cha Kumlinda Rais. Na akiongea na Diamond wakati Fulani alishakiri anaipenda Shilawadu, Usishangae kuwa siku hiyo ndiye aliyemtuma Bashite akachukue ile Flush na aipeleke Redio CCM!. Mimi Nafikiri Gwajima awashitaki Redio Uhuru- Aka Radio CCM awadai kama Tsh. Bilion 700 hivi kiasi Fulani kama Fidia na Kiasi Kingine kama adhabu na Onyo kwa Wengine. Na Kisha Amshitaki Bashite kwa Kiasi cha Bilioni 900 hivi Afilisiwe Mpaka Matako yake! au BF wake amlipie!

Hapa akisema Anapenda Shilawadu, Halafu akimtaarifu Diamond kuwa Ana Watoto Wawili, Utadhani yeye hajui!
 
Tunavuna tulichokipanda na kukiwekea mbolea octoba 25 2015 tulimuamini na kumshangilia sna, tulimsifu kwa kumpa majina ya kishujaa ss tumuache aonyeshe ushujaa wake.
 
Ni sawa hupangiw maamuz na fomu ya kugombea urais ulichukua mwenyewe ila hukujichagua na kujipigia kura mwenyew... Umechaguliwa na watanzania hvyo watendee hak wote,wabebe wote na hakuna alie juu ya sheria
 
Kama Taifa hatuja chelewa bado, tuunganishe nguvu zetu bila kuweka mambo ya vyama tuhakikishe Magufuli ana ondolewa madarakani kwa amani. Tuweke matumaini kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wapige kura ya kutokuwa na imani na Magufuli. Anacho fanya ni matumizi mabaya ya madaraka!
 
Bank ya Dunia inamilikiwa na wakubwa na hasa Marekani.
Pombe amekuwa mlipaji mzuri wa mikopo yao hivyo kuwa kipenzi chao.
Kuliko kuwalipa watumishi stahiki zao, yeye anailipa benki ya dunia ili waendelee kumwamini akope zaidi aendelee kuwa waziri wa ujenzi.
Afya na Elimu kwake havina maana yoyote.
Bora ahamie Dodoma haraka maana Mirembe ipo huko huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…