VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Huna jipya kibaraka wewe. Kama unaongelea wananchi wa kaskazini sawa, lakini vinginevyo propaganda zenu hazisaidii.
Kwa uandishi huu,fikra hizi,mbinu hizi za siasa za fisi kuvizia mkono uanguke ni dalili za kukosa dira,ila hili bomu la fikra potofu litaitafuna chadema kama siasa za mtandao zilivyoitesa ccm...hakika mkigundua project ya EL ndani ya chadema ninavyowajuwa bavicha mtakula nyama DJ...nakusikitikia nawewe umekuwa msukule!...naweka akiba ya maneno.Wananchi wa kawaida hawaamini kinachoendelea. Wanashuhudia tu fukuzafukuza ya watendaji Serikalini pamoja na mikwara iliyokwenda Shule. Wanamshuhudia Rais,Makamu, Waziri Mkuu,Mawaziri na watendaji wengine wakiendelea kutema mikwara kwa wa chini yao pamoja na kumwaga ahadi kana kwamba uchaguzi bado.
Wananchi wa kawaida wanamshuhudia Rais na serikali yake wakiizungumzia na kuiimarisha Dar es Salaam kana kwamba Tanzania ni Dar pekee. Wananchi wa kawaida wanamshuhudia Rais akitumbua majipu halafu hakuna impact ya moja kwa moja katika maisha yao.
Bei za vyakula zimepanda. Bei za vifaa vya ujenzi zinazidi kupaa. Bei ya hata maji safi inapaa kila uchao. Makazi yao duni. Matibabu yao duni. Lishe hafifu. Hawakuelewi. Hawaioni thamani ya kutumbua majipu. Wananchi wa kawaida,walio wengi mijini na vijijini wanahitaji maisha yao yabadikike hata kidogo. Kuwe na direct impact ya kutumbua majipu kwenye maisha ya watanzania!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Sishiriki malumbano yasiyo na tija. Kurekebisha uchumi sio suala la siku miamoja. Pia kutumbua majipu sio kushusha bei za vyakula, ni kuweka mfumo bora wa uwajibilkaji ambao utaleta matunda mema hapo baadaye. Kusema wananchi hawakuelewi wakati tunamwombea usiku na mchana ni uongo wenye nia ovu. Narudia kwa dhati, kuna ukanda ambao hawaungi mkono chochote kinachofanywa na serikali kwa sababu walitarajia "chama chao" kingeshinda uchaguzi mkuu. Hao hawawezi kamwe kumwelewa raisInaudhi jamaa hataki kumsifia Magufuli wakati sasa hivi ni fashion kumsifia. Ukiachia jazba uliyoionyesha na kutumia utetezi dhaifu wa ubaguzi wa kikanda ulipaswa kuonyesha kama kweli, bei za vyakula, vifaa vya ujenzi na gharama nyingine za maisha zimeshuka kulingana na huo utumbuaji majipu? Hii tabia ya kusifia kuadhibu bila kuona impact kwenye maisha halisi ya mwananchi ni utoto uliopita kipimo. Tunachokiona ni vitisho kwa watumishi wa umma na ahadi kibao kama tulivyozoea.
Kwa uandishi huu,fikra hizi,mbinu hizi za siasa za fisi kuvizia mkono uanguke ni dalili za kukosa dira,ila hili bomu la fikra potofu litaitafuna chadema kama siasa za mtandao zilivyoitesa ccm...hakika mkigundua project ya EL ndani ya chadema ninavyowajuwa bavicha mtakula nyama DJ...nakusikitikia nawewe umekuwa msukule!...naweka akiba ya maneno.
Hamna lolote habari yenu kwishaaa ....lowassa amewakaa kooni hadi shida msifieni joni majipu bana maana anapenda sifa kweliKwa uandishi huu,fikra hizi,mbinu hizi za siasa za fisi kuvizia mkono uanguke ni dalili za kukosa dira,ila hili bomu la fikra potofu litaitafuna chadema kama siasa za mtandao zilivyoitesa ccm...hakika mkigundua project ya EL ndani ya chadema ninavyowajuwa bavicha mtakula nyama DJ...nakusikitikia nawewe umekuwa msukule!...naweka akiba ya maneno.
hivi nyie misukule ya Lumumba hamnaga japo akili kidogo ya kujibu na kujenga hoja?
Wananchi wa kawaida hawaamini kinachoendelea. Wanashuhudia tu fukuzafukuza ya watendaji Serikalini pamoja na mikwara iliyokwenda Shule. Wanamshuhudia Rais,Makamu, Waziri Mkuu,Mawaziri na watendaji wengine wakiendelea kutema mikwara kwa wa chini yao pamoja na kumwaga ahadi kana kwamba uchaguzi bado.
Wananchi wa kawaida wanamshuhudia Rais na serikali yake wakiizungumzia na kuiimarisha Dar es Salaam kana kwamba Tanzania ni Dar pekee. Wananchi wa kawaida wanamshuhudia Rais akitumbua majipu halafu hakuna impact ya moja kwa moja katika maisha yao.
Bei za vyakula zimepanda. Bei za vifaa vya ujenzi zinazidi kupaa. Bei ya hata maji safi inapaa kila uchao. Makazi yao duni. Matibabu yao duni. Lishe hafifu. Hawakuelewi. Hawaioni thamani ya kutumbua majipu. Wananchi wa kawaida,walio wengi mijini na vijijini wanahitaji maisha yao yabadikike hata kidogo. Kuwe na direct impact ya kutumbua majipu kwenye maisha ya watanzania!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hata Mbegu haipandwi ikapaliliwa na kuvunwa siku moja au wiki moja... Matokeo ya kinachofanywa sasa yataonekana baada ya miaka kadhaa .... Msikitafutue Umaarufu wa kutoa tathmini wakati huu ambayo inatakiwa itolewe baada ya miaka mitano mpaka kumi...... Serikali hata usipo fanya kingine ikasimamia tu haya yaliyokwisha fanyika bado impact yake itakuwa kubwa na Mtanzania wa kawaida atayaona.. Subira muhimu.Wananchi wa kawaida hawaamini kinachoendelea. Wanashuhudia tu fukuzafukuza ya watendaji Serikalini pamoja na mikwara iliyokwenda Shule. Wanamshuhudia Rais,Makamu, Waziri Mkuu,Mawaziri na watendaji wengine wakiendelea kutema mikwara kwa wa chini yao pamoja na kumwaga ahadi kana kwamba uchaguzi bado.
Wananchi wa kawaida wanamshuhudia Rais na serikali yake wakiizungumzia na kuiimarisha Dar es Salaam kana kwamba Tanzania ni Dar pekee. Wananchi wa kawaida wanamshuhudia Rais akitumbua majipu halafu hakuna impact ya moja kwa moja katika maisha yao.
Bei za vyakula zimepanda. Bei za vifaa vya ujenzi zinazidi kupaa. Bei ya hata maji safi inapaa kila uchao. Makazi yao duni. Matibabu yao duni. Lishe hafifu. Hawakuelewi. Hawaioni thamani ya kutumbua majipu. Wananchi wa kawaida,walio wengi mijini na vijijini wanahitaji maisha yao yabadikike hata kidogo. Kuwe na direct impact ya kutumbua majipu kwenye maisha ya watanzania!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mafuta naweka kumbukumbu sawa, yameshuka kiasi kwamba hata hili punguzo la hapa Dar la Petrol 1842 bado haikustahili. Ilitakiwa iwe chini Tsh 1600, huko soko la dunia bei iko chini sana.Wakati ufike siasa tuziweke pembeni tuweke uhalisia. unaposema bei zinazidi kupaa kila kukicha tuwekee na mifano. mie nina mfano wa bei ya Mafuta, alipoingia Magufuli madarakani nilikua nanunua petroli lita 1 kwa sh 2194 kwa sasa nanunua petroli lita moja kwa sh 1920
Mkuu tindo,moja ya vtu vinavyowalewesha viongozi wetu ni unafiki wa wafuasi wao kuwasifia kwa kila kitu wanachokifanya hata kama hakina positive impact katika maisha ya watanzania,na hilo linawafanya waone kuwa wanafanya sawa.Inaudhi jamaa hataki kumsifia Magufuli wakati sasa hivi ni fashion kumsifia. Ukiachia jazba uliyoionyesha na kutumia utetezi dhaifu wa ubaguzi wa kikanda ulipaswa kuonyesha kama kweli, bei za vyakula, vifaa vya ujenzi na gharama nyingine za maisha zimeshuka kulingana na huo utumbuaji majipu? Hii tabia ya kusifia kuadhibu bila kuona impact kwenye maisha halisi ya mwananchi ni utoto uliopita kipimo. Tunachokiona ni vitisho kwa watumishi wa umma na ahadi kibao kama tulivyozoea.