Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Mkuu,kuna jina John hapo mwanzo. P.J. ni Pombe JosephRais P.J. Magufuli or Raisi J. P. Magufuli?
Taratibu unapona dogo.Rais John P. J. Magufuli,alipomtembelea Maalim Seif Sharrif Hamad leo amemtakia Maalim heri na kupona haraka. Pia,Rais Magufuli ametamka kuwa Maalim Seif anahitajika,ingawa hakusema ni wapi.
Kimsingi,kauli ya Rais Magufuli imeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kukiri kuwa hata wapinzani wanahitajika. Binafsi,naitafsiri kauli ya Mhe. Rais kama ni kauli ya kutambua umuhimu wa Maalim Seif katika kutatua mgogoro wa kisiasa na kikatiba wa Zanzibar.
Hongera Rais Magufuli kwa kauli komavu ya kisiasa na moyo wako wa kutembelea wagonjwa.
Sawa kubwaTaratibu unapona dogo.
Talking and acting are two different things. Moja ya upungufu wa Magufuli ni kutothamini upinzani. Katika hotuba zake nyingi lazima auponde upinzani. Kinachoendelea Zanzibar kinaonyesha kauli yake ni ya unafiki. Na ndio maana huwa nasema kama kweli Mungu yupo basi ni wengi tutaadhibiwa... Unakumbuka msemo wake anaoupenda sana wa 'msema kweli ni mpenzi wa Mungu''?Rais John P. J. Magufuli,alipomtembelea Maalim Seif Sharrif Hamad leo amemtakia Maalim heri na kupona haraka. Pia,Rais Magufuli ametamka kuwa Maalim Seif anahitajika,ingawa hakusema ni wapi.
Kimsingi,kauli ya Rais Magufuli imeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kukiri kuwa hata wapinzani wanahitajika. Binafsi,naitafsiri kauli ya Mhe. Rais kama ni kauli ya kutambua umuhimu wa Maalim Seif katika kutatua mgogoro wa kisiasa na kikatiba wa Zanzibar.
Hongera Rais Magufuli kwa kauli komavu ya kisiasa na moyo wako wa kutembelea wagonjwa.
Dogo? Maalim ana umri 71+Taratibu unapona dogo.
Yaani CCM hawaishi vibwengoSasa ni unafiki.
wamemnyima ushindi,amemwambia hawezi kuingilia tume ya uchaguzi na amepeleka majeshi ili kulinda wizi wao,halafu anakuja kukuona kiunafiki.
Kwani angesema UGUA POLE kuna shida? Ya nini kusema unafiki? Tangu Lini CCM wakamuhitaji mpinzani wakati wamekuwa wakitishia upinzani mpaka kufikia kuua baadhi yao?Sasa ni unafiki.
wamemnyima ushindi,amemwambia hawezi kuingilia tume ya uchaguzi na amepeleka majeshi ili kulinda wizi wao,halafu anakuja kukuona kiunafiki.
Ni Rais na si Raisi kama unavyotaka wewe,usiharibu lugha yetu. Pengine si mtanzania wewe maana nadhani kuuliza kwako ama unataka kujifunza au umekosa cha kukosoa kwa kuwa ni mkosoaji wa kila kitu. Umeona post hiyo haina cha kukosoa ndo ukaamua uibuke na rais au raisi napo umemkosa pa kumkosoa mleta mada.Rais or Raisi?
Talking and acting are two different things. Moja ya upungufu wa Magufuli ni kutothamini upinzani. Katika hotuba zake nyingi lazima auponde upinzani. Kinachoendelea Zanzibar kinaonyesha kauli yake ni ya unafiki. Na ndio maana huwa nasema kama kweli Mungu yupo basi ni wengi tutaadhibiwa... Unakumbuka msemo wake anaoupenda sana wa 'msema kweli ni mpenzi wa Mungu''?
Huo msemo aliutumia katika kuomba kura.Talking and acting are two different things. Moja ya upungufu wa Magufuli ni kutothamini upinzani. Katika hotuba zake nyingi lazima auponde upinzani. Kinachoendelea Zanzibar kinaonyesha kauli yake ni ya unafiki. Na ndio maana huwa nasema kama kweli Mungu yupo basi ni wengi tutaadhibiwa... Unakumbuka msemo wake anaoupenda sana wa 'msema kweli ni mpenzi wa Mungu''?