Rais Magufuli ungekamata 'passports' zao na kuunda 'tribunal' ingekuwa ni bora zaidi

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
12,795
2,000
--- Tungeanza kwa kuchukua passports zao ili wasijetoroka.

--- Rais angeunda tribunal maalum ya kusikiliza kesi ya economic sabotage ya namna hii. Rais asiachie mfumo wa kawaida wa mahakama. Aunde tribunal.

But all in all ile hotuba ya leo ni the best ever kuwahi kutolewa na mkuu wa nchi kwa kipindi cha miaka 20 iliyopia.

Mh. Rais amenifurahiaha kooote ila kwenye kukamata pasi zao za kusafiria ndio kidogo nadhani amesahau pamoja na kutengua hata uraia wao.

Haiwezekani kikundi cha watu kiingize nchi katika hasara ya trillions of shillings kama hizi alafu wastahili kuendelea kuwa raia wa nchi nzuri na yenye neema kama Tanzania.

Mkuu, nakushauri kamata passport zao kabla hawajakukimbia hawa watuhumiwa ikiwezekana revoke their right to be citizens.

Ninawasilisha.

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,394
2,000
..Haiwezekani kikundi cha watu kiingize nchi katika hasara ya trillions of shillings kama hizi alafu wastahili kuendelea kuwa raia wa nchi nzuri na yenye neema kama Tanzania..

Sasa kama Waziri wa Tanzania aliamua kufuta kodi inayopaswa kulipwa kutoka 15% mpaka 0% na Rais wake labda pamoja na baraza lote la Mawaziri likakubali, kosa la hako ''kakikundi kadogo'' linatoka wapi? Well, huenda wakawa na kosa ndio, lakini waliwekewa mazingira sahihi kutenda hayo.

Tunapaswa tujitizame wenyewe kama waTanzania. JPM anafanya vizuri sana lakini ifike mahala tugawane hizi lawama. Kama angeamua kuconfiscate passportS za hao unaowatajA, basi na bank accounts/assets za akina Chenge (kingpin kwenye kila deal ndefu la fweza Tanzania), Karamagi, Mkapa Ben, Kikwete, Dalali Kafumu, Werema na genge lote la wanaCCM lililoshiriki kupiga deals na wao wangepaswa kuwa dealt with the same amount of force. Magufuli kawa mpole kidogo kwenye hili maana huenda anajua blunders tumefanya wenyewe, tukianzia Bungeni ambapo na yeye alikuwepo.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,420
2,000
Acheni usanii..

CCM hii hii ndo ilipitisha hiyo mikataba, na serikali za CCM ndo zilikua madarakani wakati hii kampuni ilikuwa inafanya kazi ilihali haijasajiliwa Tanzania.

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
936
1,000
Najaribu kumwelewa Magufuli: Njia aliyopita hadi kufika Ikulu ilimgharimu mambo mengi kama vile uvumilivu,unafiki,kukaa kimya nk.sasa amefika Ikulu anavua Vikaragosi vyote hivyo/musks/ anazungumza kama mtu huru kwa ujasiri wote. Shida yangu ni kwa wana ccm haswa wale wanaoelewa mambo na sii hawa wadandia treni kwa mbele: Je wapo tayari kuvua hivyo vikaragosi vyao sasa/ musks/? Wakipenda watatusaidia sana, hawa wanajua kila kitu in and out jinsi mambo yalivyopelekwa kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Wapiga kelele wengine wa kwenye mitandao hawa hawana shida sana, wao hubadilika kutokana na mziki unavyo noga.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,420
2,000
JPM alikuwa kwenye baraza la mawaziri wakati hii mikataba inapitishwa na kusainiwa.
Leo anajidai hafahamu chochote.

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
1,982
2,000
ESCROW mlipiga pesa
RICHMOND mlipiga pesa
TANGOLD mlipiga pesa
BUZWAGI mlipiga pesa
EPA mlipiga pesa
MEREMETA mlipiga pesa
RADA mlipiga pesa
KAGODA mlipiga pesa
DEEP GREEN mlipiga pesa
KIWIRA mlipiga pesa

...., Leo mnatuletea habari za mchanga, sijui MAKINIKIA hapa.., wakati wapigaji ni ninyi wenyewe na hao makaburu wenzenu.., mnataka kutueleza nini.., habari za kujitekenya na kujichekesha wenyewe kaeni nazo wenyewe aisee.., msituchanganye!

LUGUMI wamepiga pesa.
TETEMEKO wamepiga pesa
LUCKY VICENT wamepiga pesa.
NIDA wamelamba pesa.
LUGUMI wamekamua pesa.
Eti wanataka watuchanganye kwa hivyo vikontena vya vumbi.?

Political Scientist

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,705
2,000
Sasa kama Waziri wa Tanzania aliamua kufuta kodi inayopaswa kulipwa kutoka 15% mpaka 0% na Rais wake labda pamoja na baraza lote la Mawaziri likakubali, kosa la hako ''kakikundi kadogo'' linatoka wapi? Well, huenda wakawa na kosa ndio, lakini waliwekewa mazingira sahihi kutenda hayo.

Tunapaswa tujitizame wenyewe kama waTanzania. JPM anafanya vizuri sana lakini ifike mahala tugawane hizi lawama. Kama angeamua kuconfiscate passportS za hao unaowatajA, basi na bank accounts/assets za akina Chenge (kingpin kwenye kila deal ndefu la fweza Tanzania), Karamagi, Mkapa Ben, Kikwete, Dalali Kafumu, Werema na genge lote la wanaCCM lililoshiriki kupiga deals na wao wangepaswa kuwa dealt with the same amount of force. Magufuli kawa mpole kidogo kwenye hili maana huenda anajua blunders tumefanya wenyewe, tukianzia Bungeni ambapo na yeye alikuwepo.
Wakati na yeye pia alikuwa sehemu ya huo mfumo uliokuwa unapiga deals. Huyu jamaa sijui huwa anawazaga nini kwenye akili zake. Mleta mada atakuwa ana crack kwenye ubongo wake

redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,338
2,000
Na ni CCM hii inayo jisafisha, Ndio maana alianza kuondolewa maMvi ili majizi yajue hayana nafasi.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom