Rais Magufuli ungekamata 'passports' zao na kuunda 'tribunal' ingekuwa ni bora zaidi

Najaribu kumwelewa Magufuli: Njia aliyopita hadi kufika Ikulu ilimgharimu mambo mengi kama vile uvumilivu,unafiki,kukaa kimya nk.sasa amefika Ikulu anavua Vikaragosi vyote hivyo/musks/ anazungumza kama mtu huru kwa ujasiri wote. Shida yangu ni kwa wana ccm haswa wale wanaoelewa mambo na sii hawa wadandia treni kwa mbele: Je wapo tayari kuvua hivyo vikaragosi vyao sasa/ musks/? Wakipenda watatusaidia sana, hawa wanajua kila kitu in and out jinsi mambo yalivyopelekwa kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Wapiga kelele wengine wa kwenye mitandao hawa hawana shida sana, wao hubadilika kutokana na mziki unavyo noga.

Wanaona aibu kwa sababu wao ndio wahusika wa ufisadi wote serikaliji
 
Back
Top Bottom