Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,004
Kwa akili zako zote unakaa kutetea hotuba ya usanii kama ile? Wewe pia ni hasara kweli aiseeKwa akili hii ndo maana mloitwa wapumbavu na wajinga
Kwa akili zako zote unakaa kutetea hotuba ya usanii kama ile? Wewe pia ni hasara kweli aiseeKwa akili hii ndo maana mloitwa wapumbavu na wajinga
Wameiba wenyewe alafu wanadai wenyewe. Shame on themFreeze accounts zao hili warudishe chetu
kabisa hafai tena kuwa pale. safi sana mkuupia bunge limvue uenyekiti wa bunge chenge....
Kwa hiyo unataka kumaanisha rais ni mwizi? Kuwa makini sana na kauli zako weweWameiba wenyewe alafu wanadai wenyewe. Shame on them
ConsultantSasa kama Waziri wa Tanzania aliamua kufuta kodi inayopaswa kulipwa kutoka 15% mpaka 0% na Rais wake labda pamoja na baraza lote la Mawaziri likakubali, kosa la hako ''kakikundi kadogo'' linatoka wapi? Well, huenda wakawa na kosa ndio, lakini waliwekewa mazingira sahihi kutenda hayo.
Tunapaswa tujitizame wenyewe kama waTanzania. JPM anafanya vizuri sana lakini ifike mahala tugawane hizi lawama. Kama angeamua kuconfiscate passportS za hao unaowatajA, basi na bank accounts/assets za akina Chenge (kingpin kwenye kila deal ndefu la fweza Tanzania), Karamagi, Mkapa Ben, Kikwete, Dalali Kafumu, Werema na genge lote la wanaCCM lililoshiriki kupiga deals na wao wangepaswa kuwa dealt with the same amount of force. Magufuli kawa mpole kidogo kwenye hili maana huenda anajua blunders tumefanya wenyewe, tukianzia Bungeni ambapo na yeye alikuwepo.
Katika kikao gani cha CCM hiyo ilipitishwa?Acheni usanii..
CCM hii hii ndo ilipitisha hiyo mikataba, na serikali za CCM ndo zilikua madarakani wakati hii kampuni ilikuwa inafanya kazi ilihali haijasajiliwa Tanzania.
Hahahaha wan-kigoda kweli!Ulitaka afanye nini ?. Aropoke halafu wam-Kigoda?
Mleta uzi ubarikiwe!
Taaraba ni taarabu tuu ndugu iwe Modern au ya Asili zote taarabu.--- Tungeanza kwa kuchukua passports zao ili Tundu Lissu asiwatoroshe.
--- Rais angeunda tribunal maalum ya kusikiliza kesi ya economic sabotage ya namna hii. Rais asiachie mfumo wa kawaida wa mahakama. Aunde tribunal.
But all in all ile hotuba ya leo ni the best ever kuwahi kutolewa na mkuu wa nchi kwa kipindi cha miaka 20 iliyopia.
Mh. Rais amenifurahiaha kooote ila kwenye kukamata pasi zao za kusafiria ndio kidogo nadhani amesahau pamoja na kutengua hata uraia wao.
Haiwezekani kikundi cha watu kiingize nchi katika hasara ya trillions of shillings kama hizi alafu wastahili kuendelea kuwa raia wa nchi nzuri na yenye neema kama Tanzania.
Mkuu, nakushauri kamata passport zao kabla hawajakukimbia hawa watuhumiwa ikiwezekana revoke their right to be citizens.
Ninawasilisha.
Wa kuwatorosha ni Tundu Lissu au Akina Chenge--- Tungeanza kwa kuchukua passports zao ili Tundu Lissu asiwatoroshe.
--- Rais angeunda tribunal maalum ya kusikiliza kesi ya economic sabotage ya namna hii. Rais asiachie mfumo wa kawaida wa mahakama. Aunde tribunal.
But all in all ile hotuba ya leo ni the best ever kuwahi kutolewa na mkuu wa nchi kwa kipindi cha miaka 20 iliyopia.
Mh. Rais amenifurahiaha kooote ila kwenye kukamata pasi zao za kusafiria ndio kidogo nadhani amesahau pamoja na kutengua hata uraia wao.
Haiwezekani kikundi cha watu kiingize nchi katika hasara ya trillions of shillings kama hizi alafu wastahili kuendelea kuwa raia wa nchi nzuri na yenye neema kama Tanzania.
Mkuu, nakushauri kamata passport zao kabla hawajakukimbia hawa watuhumiwa ikiwezekana revoke their right to be citizens.
Ninawasilisha.
Bungeni.Katika kikao gani cha CCM hiyo ilipitishwa?