Kama Tanzania ingekuwa ni bidhaa basi CCM na Rais Magufuli wameiongezea thamani kwa kuiboresha na kuifanya ivutie Zaidi.

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,600
Kuongezea thamani bidhaa ni kitendo cha kuongeza ubora wa bidhaa kwa kuichakata Zaidi na kuiboresha na kuuza kwa bei kubwa kuliko ya awali. Kitendo cha kuiongezea thamani bidhaa kinawezesha bidhaa kuwa na ubora unaotakiwa katika ushindani. Tanzania katika awamu ya tano naweza kuifananisha na bidhaa ambayo imeongezewa thamani na Rais Magufuli na CCM ndio vinara wa kuiongezea thamani, inavutia kweli.

Kauli kama Tanzania ni shamba la bibi, katika awamu hii si rahisi kusikika kwa sababu ya thamani yake iliyoongezwa na serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli. Kufanikiwa kwa Mapambano dhidi ya vitendo vya kifisadi, rushwa na uhujumu uchumi ambavyo vilikuwa vinaifanya Tanzania shamba la bibi yameiongeza thamani nchi yetu.

Faida kubwa ambayo Tanzania imeipata baada ya kuongezewa thamani ni kuongezeka kwa uwekezaji na ukuaji wa uchumi. Haya ni matunda ambayo watanzania tunayala baada ya kazi ngumu ya kuongeza thamani. Wawekezaji katika sekta zote wanavutiwa na uboreshwaji wa mazingira ya uwekezaji. Kukua kwa pato la taifa kumeifanya Tanzania kuwa ni sehemu ya kuvutia uwekezaji wenye faida.

Tanzania imekuwa kivutio cha wageni hasa watalii kutoka nchi mbalimbali za dunia na hii ni sababu ya kuiongezea thamani sekta ya utalii. Kitendo cha kuongezea thamani sekta ya utalii kumefanya pato la taifa kuongeza pia kutokana na shughuli za utalii wa ndani na wa nje.

Uzalishaji wa ndani kupitia kilimo umeongeza na hii ni kwa sababu ya kuboresha sekta ya kilimo kuwa cha kisasa na watu wengi kujikita katika kilimo. Ni sera za CCM ndizo zimekiongezea thamani kilimo kuwa chenye tija na kukifanya kivutie Zaidi.

Ujenzi wa Tanzania ya viwanda kumeiongezea sana thamani nchi kwa wawekezaji na wafanyabiashara wazawa na wageni. Yote hii ni mikakati ya CCM na Rais Magufuli katika harakati na jitihada zao za kuwa na viwanda vyetu wenyewe vitakavyozalisha bidhaa zetu wenyewe.

Watanzania waone umuhimu wa juhudi za kuiongezea thamani nchi yetu zinazofanywa na CCM na Rais Magufuli na tushiriki pamoja katika kuiongezea thamani nchi yetu bila kujali dini, vyama, rangi na kabila zetu
 
Baadhi hapa pia hawataelewa ndio Tanzania hii.
 
Hata Aibu Huoni Dah!!
Mfano Nikikuuliza Pato la Taifa Iimekua Kwa Ngapi % Utanijibu?.
Zakuambiwa changanya na zakwako Ila wa Tz elimu imetupiga chenga Umeletewa habari nzuri tena halisi siyo hadithi ya Sungura na Fisi tuna shindwa kupima ukweli wa habari tu
 
hili kama ndio jibu la swali langu nadiliki kusema mwalimu wako amepata tabu.
 
Sawa Kabisa. Na waliozoea shamba la bibi ndio kutwa kulalamika humu ndani!
 
... kwani ni lini Tanzania iliwahi kuwa na thamani ndogo kabla ya Rais Magufuli na CCM kuiongezea thamani unayodai imeongezewa?
 
Zakuambiwa changanya na zakwako Ila wa Tz elimu imetupiga chenga Umeletewa habari nzuri tena halisi siyo hadithi ya Sungura na Fisi tuna shindwa kupima ukweli wa habari tu
Tunashindwa kupima kwamba uchumi umekuwa ee? Kweli hatuna akili
 
Back
Top Bottom