Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,928 Jul 9, 2020 #1 Mzee JPM kunawakati inabidi nikupongeze tu hata Kama roho yangu haitaki . Hawa jamaa zako ambao hawana faida kwa taifa kazi yao ni ndioooooooo na kupiga meza wanaumbuka vibaya Sana. Kila siku yanakamwatwa kwa rushwa hii ndio Safi mzee baba yajifunze kuwa ushetani wao unamalipo hapahapa duniani. Umewageuka mbayaaa na Sasa wanaona haya na wasirudi Tena mjengoni ili wajifunze kuwa watu wa haki. Wakati upinzani ukilia wait walikuwa wanacheka na kupiga meza pwaa pwaa pwaa Sasa walie kivyao. Orodha yangu mpaka Sasa waliokamatwa na takukuru kwa rushwa ni Obama Matayo David Vikta serukamba nk Ongezea uwajuao wengine. Na bado Wala rushwa wakubwa nyie.
Mzee JPM kunawakati inabidi nikupongeze tu hata Kama roho yangu haitaki . Hawa jamaa zako ambao hawana faida kwa taifa kazi yao ni ndioooooooo na kupiga meza wanaumbuka vibaya Sana. Kila siku yanakamwatwa kwa rushwa hii ndio Safi mzee baba yajifunze kuwa ushetani wao unamalipo hapahapa duniani. Umewageuka mbayaaa na Sasa wanaona haya na wasirudi Tena mjengoni ili wajifunze kuwa watu wa haki. Wakati upinzani ukilia wait walikuwa wanacheka na kupiga meza pwaa pwaa pwaa Sasa walie kivyao. Orodha yangu mpaka Sasa waliokamatwa na takukuru kwa rushwa ni Obama Matayo David Vikta serukamba nk Ongezea uwajuao wengine. Na bado Wala rushwa wakubwa nyie.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Dec 26, 2017 18,112 45,814 Jul 9, 2020 #2 Magufuli kwanza atuoneshe zilipo Tl 1.5 na mil 50 kila kijiji
mr mkiki JF-Expert Member Sep 22, 2016 5,583 11,659 Jul 9, 2020 #3 owomkyalo said: Magufuli kwanza atuoneshe zilipo Tl 1.5 na mil 50 kila kijiji Click to expand... Milioni 50 walizijibu kisanii, nilikubali lakini 1.5 trillion bado wameshindwa kijibu hta kisanii , wakati huo huo kwenye maandishi ya CAG wamebakinayo!! Wamemtoa CAG wa watu wakati mandishi wanayo?
owomkyalo said: Magufuli kwanza atuoneshe zilipo Tl 1.5 na mil 50 kila kijiji Click to expand... Milioni 50 walizijibu kisanii, nilikubali lakini 1.5 trillion bado wameshindwa kijibu hta kisanii , wakati huo huo kwenye maandishi ya CAG wamebakinayo!! Wamemtoa CAG wa watu wakati mandishi wanayo?
paul sylvester JF-Expert Member Mar 18, 2020 3,504 3,499 Jul 9, 2020 #4 Na wadakwe tu, hatutaki mbeleko ya fedha, upendwe upendwe kweli, sio upendwe sababu ya pesa
NAWATAFUNA JF-Expert Member Nov 14, 2019 13,286 24,003 Jul 9, 2020 #5 Kwa kweli CCM ya sasa sio ile ya zamani.
Chief Kabikula JF-Expert Member Jan 1, 2019 7,567 9,026 Jul 9, 2020 #6 [SUB]Wizi ufisadi na rushwa una wenyewe nadhani mnawaona sasa.[/SUB]