Ila anayafukuaInauma ila mkulu alisema hatafukua makaburi... kwa huyu wa tangia enzi za Nyerere atamhurumia tu .....
Huyu mama umeambiwa kuwa ana zaidi ya miaka 25 kazini chini ya utendaji wake ni vijana wengi sana wamepata elimu kupitia kwake,si ajabu ukakuta wengine waliopata elimu chini ya huyu mama ni hawa hawa wanaowaita wenzao watumishi hewa au wanaweza wakawa ni ndugu zao au wanaweza wakawa ni watumishi katika serekali hihi ya kuwaita wenzao watumishi hewa,sasa je kama huyu mwalimu ana itwa mtumishi hewa na wale waliopata mafanikio kwa kupitia elimu yake waitwe akina nani?.Hamna namna yeye angestaafu kwa hiari pale aliposikia Rais anataka kushughulikia tatizo la watumishi hewa. Sasa ni too late lazima atastaafishwa kwa kosa la fojari au kutumia cheti siyo chake. Nampongeza sana RAIS kwa zoezi hili Pendwa na kupunguza hewa kila sehemu. Ushauri wangu kwa Admin JF waangalie namna ya kupambana na WANAJUKWAA au WANAJAMVI HEWA .
No... zoezi ni kuhakiki watumishi hewa na wala siyo Zoezi la kuangalia utendaji kazi wa Watumishi HEWA. Tofautisha vitu hivyo kwanza Mkuu.Huyu mama umeambiwa kuwa ana zaidi ya miaka 25 kazini chini ya utendaji wake ni vijana wengi sana wamepata elimu kupitia kwake,si ajabu ukakuta wengine waliopata elimu chini ya huyu mama ni hawa hawa wanaowaita wenzao watumishi hewa au wanaweza wakawa ni ndugu zao au wanaweza wakawa ni watumishi katika serekali hihi ya kuwaita wenzao watumishi hewa,sasa je kama huyu mwalimu ana itwa mtumishi hewa na wale waliopata mafanikio kwa kupitia elimu yake waitwe akina nani?.
Huyu mama umeambiwa kuwa ana zaidi ya miaka 25 kazini chini ya utendaji wake ni vijana wengi sana wamepata elimu kupitia kwake,si ajabu ukakuta wengine waliopata elimu chini ya huyu mama ni hawa hawa wanaowaita wenzao watumishi hewa au wanaweza wakawa ni ndugu zao au wanaweza wakawa ni watumishi katika serekali hihi ya kuwaita wenzao watumishi hewa,sasa je kama huyu mwalimu ana itwa mtumishi hewa na wale waliopata mafanikio kwa kupitia elimu yake waitwe akina nani?.
Ni kweli mkuu ila Haki bila Huruma ni UKATILI....Kama mama alifaulu chuo kwa akili yake , dah inauma lakini , ingawa ni kosa kutumia cheti cha mtu .
Hamna namna yeye angestaafu kwa hiari pale aliposikia Rais anataka kushughulikia tatizo la watumishi hewa. Sasa ni too late lazima atastaafishwa kwa kosa la fojari au kutumia cheti siyo chake. Nampongeza sana RAIS kwa zoezi hili Pendwa na kupunguza hewa kila sehemu. Ushauri wangu kwa Admin JF waangalie namna ya kupambana na WANAJUKWAA au WANAJAMVI HEWA .
Hayajawahi kukuta utanywea na hautathubutu siku nyingine kukejeli wahanga. Ushabiki mpaka kwenye maisha ya watu.No... zoezi ni kuhakiki watumishi hewa na wala siyo Zoezi la kuangalia utendaji kazi wa Watumishi HEWA. Tofautisha vitu hivyo kwanza Mkuu.
Suala la kusoma kwa kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa kisheria. Kwa hiyo Haki hupatikana japo kuwa huchelewa .
Yupo waziri, comrade wa JF anatumia jina la muuguzi na wakati huo huo anatumia jina lililonunuliwa kwa "burungutu" la ng'ombe.Kama mama alifaulu chuo kwa akili yake , dah inauma lakini , ingawa ni kosa kutumia cheti cha mtu .
Watu wangapi miaka yote hiyo wamepata elimu duni toka kwa mtu ambae hana sifa? Sio ajabu kuna watu wamefeli mtihani na wanateseka kwa ajili ya udanganyifu wa huyu mama na nduguze wana ukoo.Huyu mama umeambiwa kuwa ana zaidi ya miaka 25 kazini chini ya utendaji wake ni vijana wengi sana wamepata elimu kupitia kwake,si ajabu ukakuta wengine waliopata elimu chini ya huyu mama ni hawa hawa wanaowaita wenzao watumishi hewa au wanaweza wakawa ni ndugu zao au wanaweza wakawa ni watumishi katika serekali hihi ya kuwaita wenzao watumishi hewa,sasa je kama huyu mwalimu ana itwa mtumishi hewa na wale waliopata mafanikio kwa kupitia elimu yake waitwe akina nani?.