Wewe pia kichaa!!!!??Sasa kama wanakataa kupitisha bajeti wa nadhani hayo wanayoyaomba yangetoka wapi?
YesWewe pia kichaa!!!!??
Hii ni akili ya jikoni, KWA vile walikataa kupitisha sheria ya mitandao acheni kuwakamata kwa makosa ya mitandao.Sasa kama wanakataa kupitisha bajeti wa nadhani hayo wanayoyaomba yangetoka wapi?
Huna jipya. Kilichobaki tuwaoe Dada zenu ili mtuheshimu nyie ma CHADEMAHii ni akili ya jikoni, KWA vile walikataa kupitisha sheria ya mitandao acheni kuwakamata kwa makosa ya mitandao.
Kwenye kodi mlizokusanya majimboni kwaoSasa kama wanakataa kupitisha bajeti wa nadhani hayo wanayoyaomba yangetoka wapi?
Kwenye hii ziara ya rais kanda ya ziwa, nimeskia kauli za utata kwa Mheshimiwa rais. Mheshimiwa rais naomba uandikiwe hotuba na uizingatie.
Nyinyi mnaomtukana Rais wetu mbona hamjajitoa? Au ni yale ya Nyani haoni ................Nina imani Jamii Forums hawasajili vichaa! Jitoe tafadhali!
Dada zao hawaolewi na vichaa , na wanuka midomoHuna jipya. Kilichobaki tuwaoe Dada zenu ili mtuheshimu nyie ma CHADEMA
Sasa ulitaka asemeje. We huoni Mbunge hakufuata utaratibu kumwita DED wake wakati kuna namna nzuri ya kumshitaki kwa Rais. Je angekuwa Shemeji yake angeropoka mbele ya Rais.Rais asipoangalia atapanda chuki! Kuoana sio vibaya, lakini aliposema mkurugenzi aoe dada wa mbunge wa upinzani ili kumkomoa, ni kauli mbaya! Tuipinge!
kuna haja gani ya kupoteza muda na pesa za serikali kulipa wabunge kujadili kitu ambacho hawaruhusiwi kutoa ampendekezo yao ambayo nyie mnayaita kupinga? kwanini waziri na wataalamu wake wasiandae bajeti kisha wataisoma kwa wananchi.Sasa kama wanakataa kupitisha bajeti wa nadhani hayo wanayoyaomba yangetoka wapi?