Rais Magufuli tusaidie kurejesha mabilioni ya JK yaliyoliwa na wajanja wachache

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Shikamoo,

Salute,

Naandika kwako mheshimiwa; kuna mabilioni ya JK ambayo ni pesa ya wavuja jasho. Kuna wajanja wachache na mameneja wa benki walichukua hizi pesa na kuwapatia watu wasiositahiki.

Tunaomba CAG apewe orodha ya mabenki yaliyopewa mabilini ya JK watuambie je zimezalisha shilingi ngapi?Waliokopeshwa ni kina nani?Bado zipo au washachukua.Wazirejeshe ndo utugawie kila kijiji.

Wasalimie ikulu

Ikulu kama kituo cha polisi
 
Back
Top Bottom