Rais Magufuli tunaomba uifute Tume ya Utumishi wa Mahakama maana haina kazi

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Nichukue fursa hii ya pekee kuwapa pole moderator's kwa kazi ngumu na tija kwenye taifa letu kupitia jamii forum kusimamia misingi ya uwasilishaji hoja .

Pili nimpe pongezi rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa majukumu mazito ya kuliletea taifa maendeleo mhe rais magufuli nakuomba uifute tume ya utumishi wa mahakama maana haina kazi za kufanya sasa hivi watumishi wa idara hiyo wanapokea mishahara bure bila kazi kufatana na kauli mbiu ya kubana matumizi mhe .rais nakuomba uifute hii tume ili kuokoa pesa na gharama zinazotumiwa na tume hii .

Mhe rais tume ya utumishi wa mahakama ndoo imekuwa mstari wa mbele kuvunja sheria za utumishi wa umma kwa watumishi wa mahakama imeshindwa kusimamia misingi ya watumishi matokeo yake imeleta mtafaluko kwenye jamii na kuchonganisha serikali na wananchi viongozi wanaofanya kazi kwenye tume hii ya utumishi wa mahakama wamekuwa na majibu mabaya hawako tayari kusikiliza kero za watumishi wa mahakama mfano ukienda na tatizo kwenye tume hii wewe kama mtumishi wa mahakama Mara nyingi wanakuambia uende wizara ya utumishi wa umma sasa nashindwa elewa hivi hii tume ya utumishi wa mahakama ina kazi gani sasa ? Kama inashindwa hata kushughulikia matatizo ya watumishi wake .

Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania nimeichonganisha serikali na wananchi kwa sababu mbalimbali mfano tume ya utumishi wa mahakama iliwafanyia usaili vijana 348 mwezi march 2016 na walishinda usaili mnamo tarehe 01/06/2016 tume ya utumishi wa mahakama iliwaita kazini vijana hawa na kuwasainisha mikataba ya kazi na walipangiwa vituo vya kazi na kuanza kufanya kazi kwenye mahakama mbalimbali Tanzania waliajiriwa kama ,mahakimu,wasaidizi wa ofisi,madereva nk walipewa pesa za kujikimu kila mtu alipewa laki saba zidisha kwa watu 348,(700,000 ×348) ni mabillioni ya pesa serikali iliingia gharama kuwalipa hawa vijana walipofanya kazi mwezi mmoja walirudishwa nyumbani bila kuambiwa sababu ulipoanza uhakiki wa watumishi hewa walipowauliza maafisa utumishi wa mahakama waliwajibu kuwa baada ya miezi miwili watarudishwa kazini toka mwezi wa June 2016 mpaka sasa vijana hawa wapo nyumbani tume ya utumishi wa mahakama ipo kimya wakifatilia kwenda kuulizia watumishi wa tume ya utumishi wa mahakama wanajibu kuwa hata wao hawana jibu la kuwajibu je ? Hii tume ya utumishi wa mahakama kazi yake nini ? Kama imeshindwa kufatilia maswala ya msingi ya watanzania bora kuifuta ili ibaki wizara ya utumishi peke iweze kushughulikia kero na matatizo ya watumishi wa umma.

Mhe .rais magufuli hii tume ya utumishi wa mahakama haina kazi kabisa kama huamini Fanya uchunguzi utabaini watumishi wake hawafanyi kazi ukienda na tatizo pale wanakujibu kuwa wao hawahusiki wanakuambia nenda wizara ya utumishi wa umma je ? Kazi yao nini hawa watumishi ? Sijawahi kuasikia hata siku Moja wakitoa maelekezo kwa watumishi wa mahakama kuwapa semina au taratibu na kusikiliza kero za watumishi wa mahakama wamekaa tu ofisini watumishi wa mahakama wana changomoto nyingi sana lakini hii tume kama haipo kabisa .
 
Hapo itakuwa kuongeza Tatizo au kupunguza tatizo!!
Maana una lalamika watu kurudishwa nyumbani
Na bado unaomba nawalio baki pia warudishwe nyumbani!!!!
 
Wafute tume hii ili hawa wafanyakazi wapangiwe kazi sehemu nyingine maana wanakula salary za bure halafu mhe rais anasema kuwa serikali yake inabana matumizi sasa hii tume si ni hasara
 
Nichukue fursa hii ya pekee kuwapa pole moderator's kwa kazi ngumu na tija kwenye taifa letu kupitia jamii forum kusimamia misingi ya uwasilishaji hoja .

Pili nimpe pongezi rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa majukumu mazito ya kuliletea taifa maendeleo mhe rais magufuli nakuomba uifute tume ya utumishi wa mahakama maana haina kazi za kufanya sasa hivi watumishi wa idara hiyo wanapokea mishahara bure bila kazi kufatana na kauli mbiu ya kubana matumizi mhe .rais nakuomba uifute hii tume ili kuokoa pesa na gharama zinazotumiwa na tume hii .

Mhe rais tume ya utumishi wa mahakama ndoo imekuwa mstari wa mbele kuvunja sheria za utumishi wa umma kwa watumishi wa mahakama imeshindwa kusimamia misingi ya watumishi matokeo yake imeleta mtafaluko kwenye jamii na kuchonganisha serikali na wananchi viongozi wanaofanya kazi kwenye tume hii ya utumishi wa mahakama wamekuwa na majibu mabaya hawako tayari kusikiliza kero za watumishi wa mahakama mfano ukienda na tatizo kwenye tume hii wewe kama mtumishi wa mahakama Mara nyingi wanakuambia uende wizara ya utumishi wa umma sasa nashindwa elewa hivi hii tume ya utumishi wa mahakama ina kazi gani sasa ? Kama inashindwa hata kushughulikia matatizo ya watumishi wake .

Tume ya utumishi wa mahakama Tanzania nimeichonganisha serikali na wananchi kwa sababu mbalimbali mfano tume ya utumishi wa mahakama iliwafanyia usaili vijana 348 mwezi march 2016 na walishinda usaili mnamo tarehe 01/06/2016 tume ya utumishi wa mahakama iliwaita kazini vijana hawa na kuwasainisha mikataba ya kazi na walipangiwa vituo vya kazi na kuanza kufanya kazi kwenye mahakama mbalimbali Tanzania waliajiriwa kama ,mahakimu,wasaidizi wa ofisi,madereva nk walipewa pesa za kujikimu kila mtu alipewa laki saba zidisha kwa watu 348,(700,000 ×348) ni mabillioni ya pesa serikali iliingia gharama kuwalipa hawa vijana walipofanya kazi mwezi mmoja walirudishwa nyumbani bila kuambiwa sababu ulipoanza uhakiki wa watumishi hewa walipowauliza maafisa utumishi wa mahakama waliwajibu kuwa baada ya miezi miwili watarudishwa kazini toka mwezi wa June 2016 mpaka sasa vijana hawa wapo nyumbani tume ya utumishi wa mahakama ipo kimya wakifatilia kwenda kuulizia watumishi wa tume ya utumishi wa mahakama wanajibu kuwa hata wao hawana jibu la kuwajibu je ? Hii tume ya utumishi wa mahakama kazi yake nini ? Kama imeshindwa kufatilia maswala ya msingi ya watanzania bora kuifuta ili ibaki wizara ya utumishi peke iweze kushughulikia kero na matatizo ya watumishi wa umma.

Mhe .rais magufuli hii tume ya utumishi wa mahakama haina kazi kabisa kama huamini Fanya uchunguzi utabaini watumishi wake hawafanyi kazi ukienda na tatizo pale wanakujibu kuwa wao hawahusiki wanakuambia nenda wizara ya utumishi wa umma je ? Kazi yao nini hawa watumishi ? Sijawahi kuasikia hata siku Moja wakitoa maelekezo kwa watumishi wa mahakama kuwapa semina au taratibu na kusikiliza kero za watumishi wa mahakama wamekaa tu ofisini watumishi wa mahakama wana changomoto nyingi sana lakini hii tume kama haipo kabisa .
Suala la hao waajiwa ni tatizo la huko huko unakoshtaki.
 
Tume hii si ndoo mwajiri wa hawa je ?inashindwaje kuwapa majibu hawa
Tume ipo tu kwa sababu ipo (hasa katika hili la kuajiri). Mwenye kutoa kibali waajiriwe wangapi na rasilimali fedha ni wizara. Sasa wizara isipofanya hivyo halafu ikae kimya tume inajibu nini?
 
,mkuu tume ya mahakama haina kazi kabisa
 
Back
Top Bottom